LOVE and TRUTH...................................


chauro darling....I think I might be too liberal and inaniocost................. nadhani ninajidanganya mie but huwa ninajifunza kumtrust mtu 100 percent.... as long as hanipi reasons to doubt. Ninamwamini kupindukia unless afanye kile kitakachonifanya nishtuke.... I used to tell the love of my life kuwa ukila na mie kipofu wako usiniguse mkono.............. but I still believe if there is a thingy ambayo uliifanya enzi zile do not tell.. au tell in aprticl way so that you do not tell all......but still some people are for telling
 
really really? i mean really really really??

Dah... hebu nambie basi truth na honesty ntazitofautishaje mazee?
 
ni kweli MJI nimepata shida sana kwakweli kuna wakati nilikuwa kama nimesimamisha kila kitu kwenye maisha unamwamini mtu100 per ukienda hata kuoga unamwambia na kwako unamuona ni mtu ambaye yupo honest 100per halafu siku tu unaona inaweza kuwa simu au mails zake mambo mawili matatu ambayo yanakupa picha halisi kuwa uko na mtu wa aina gani ukiuliza hayo majibu pigia mstari dada unajua kabisa imekula kwako hapo hayo mapenzi tunayaitaje anakupenda sana,alikupenda zamani au yupo kwa sababu ya jambo fulani
 

Kelvin....mh I think I am confuced.....what is the difference between telling the truth and being honesty...... hahaha Yes I tried once to lie about something fishy ------------actually very stupid thing ambayo baadae imenicost sana kwoani nilikuja kuamua kusema ukweli duh.......ikawa SI unit mwenzangu na hata walioshtakiwa wakawa hawanielewi kwa nini nilificha...even if it wasnt that nasty

Actually that happened two years ago.
 
love and truth?? mhh... let see

do you mean truth au honesty?

Kaka Acid.....nadhani nitakuwa nachanganya simbi hapa...what is the difference between telling the truth and being honesty??

From my shallow understanding telling the truth means ----- mwenzako amesikia kitu and comes back to ask you if it is true or not and being honesty is to tell something about you even witrhout being asked.... unataka tu mwenzio akujue zaidi... am I wrong??
 

Acid sio kuwa sitaki kujibu swali lako........was attending some other calls kaka am sorry.

Mh could I agree more with you?? Its true that when you are talking about past ....its all lies on your word and I have to agree with them but what happens when you tells me about your past and I start digging to find out if is true or not?? What if I start judging your present deeds with the confessions you made??. would I be fair??
No kaka nothing is on my mind kaka just that I have remembered and am relecting where I am coming from.
 
hapo sasa we ACID jibu maswali maana hii topic naona imenigusa sana huwa napata shida kwakweli ndo maana siku izi naona kama mapenzi mchezo wa kuigiza vile


will that also mean i love more than the one keeping a few skeletons in teh closet?


Chauro and Acid........I dont thin if telling all means you love more than the one who doesnt .......... s/he might love you more to the extend that s/he doesnt want to hurt you.
 
sorry to say this most men use this kutufanya tujikie guilt na kuhalalisha makosa yao

What if I start judging your present deeds with the confessions you made??.
 
lakini mtu anayekupenda kweli ana haja ya kukuficha au kufanya mambo yatayokuumiza

Chauro and Acid........I dont thin if telling all means you love more than the one who doesnt .......... s/he might love you more to the extend that s/he doesnt want to hurt you.
 
Mjukuu ni kweli some people will refer lile kosa mtu analokuwa ametenda pindi wanapogombana lakini je hiding the truth from your loved one is it worth it?


Babu is not hiding .........its just simply not telling................. kuwa baby... I dont wanna talk about this.... not telling kwa sababu unajua kabisa telling him/her will hurt her or will put you in a situation where you might loose the love of your loved one. There was this time I had a mobile phone and after being with him nikagundua kuwa is a person ambaye hapendi na hayuko secured mimi kuwa na friends wa kiume (just friends) so nikadecide to funga that number na kuwa na nyingine kwa sababu my phone used to be his whenever we meet... so to save him the troublel I decided to descade it........nikakosea na kumwambia I just lost it ..then I bought other handset and asked him to find a number for me.. but after a while nikaona nashtakiwa then I decided to tell him kuwa I didnt lost it but I descarded it.....oh my................ it was like digging my own grave................. tulipogombana akawa anaitumia kama SI unit kwenye kila kikao.
 
sorry to say this most men use this kutufanya tujikie guilt na kuhalalisha makosa yao

What if I start judging your present deeds with the confessions you made??.


Sorry my dia sisy but can you elaborate more on your first sentence??
 
Uongo ndiyo huleta penzi na ndiyo hulinda penzi. just make sure mwenza wako hataujua uongo huo kupitia other sources.......

Questt..........I think we are sailing in the same boat........... though its hard to admit
 
na maanisha wanaume wengi hupenda kutumia yale tuliyowaeleza inaweza kuwa ya familia yako au jambo lolote kuhusu maisha yako pale mnapogombana au kukumkuta na kosa
 
katika relationship,mimi napenda sana kum trust mtu,na huwa napenda sana huyo mtu awe mkweli kwangu,bora aniambie ukweli,japo unauma,kuliko kunichoresha.lakini kuficha ficha,kwa kweli huwa sipendi
 
Chauro..................have you ever heard something like sweet lie? that does not hurt??

Nadhani Acid was right tutofautishe not telling and being honesty......... not telling huconfess wala kukataa kitu but you just not telling so if you havent tell anything how can you be muongo??

Hata kwka mfano uliosema ....................hata kama shemeji ana mtoto nje..hasemi kama anaye na hata kama umesikia hakiri wala kukataa...jbu akupalo ni kuwa I dont want to talk about it........... lakini hii yote haifanyi kukuignore but to protect you because muda haujafika............But I think kuna mambo mengine ambayo are more sensitive than this.... ambayo I still think that there are some secrets better remain there
 
ni muhimu kuwa honest katika 'love', ila with a note kwamba kila usemacho chaweza kutumiwa kama silaha dhidi yako wakati wa downs na ups za hiyo 'love'.
btw: nadhani kichwa sahihi zaidi ni love and honesty.
ukweli ni sehem ya uaminifu.
 

umepata mpya eeh
 
na maanisha wanaume wengi hupenda kutumia yale tuliyowaeleza inaweza kuwa ya familia yako au jambo lolote kuhusu maisha yako pale mnapogombana au kukumkuta na kosa

Hapa umenena sisy...mie lilinikuta sipati kukwambia....nilijitia kumwambia mwenzi siri kuu ya familia ambayo hata wadogo zangu hawakuwa wakiifahamu only to happen that siku tumeombana akalimwaga mbele yao pwaaahhhhhhhh mbona nlitamani kuingia uvunguni mwa kabati acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…