LOVE and TRUTH...................................

What u don't know wont hurt you.Be careful when deciding what you need to disclose.
 
ni muhimu kuwa honest katika 'love', ila with a note kwamba kila usemacho chaweza kutumiwa kama silaha dhidi yako wakati wa downs na ups za hiyo 'love'.
btw: nadhani kichwa sahihi zaidi ni love and honesty.
ukweli ni sehem ya uaminifu.


Babu...posted via Mobille!!!
Aksante kwa angalizo I think Honesty is the best word then thruth .........let me do the needful

Sasa unaposema tuwe caution kuwa whatever we saymight be used against us........... unamaanisha we should be careful in what we say?? au
 
asante dada lakini jambo lingine ni pale mtu anapofanya mambo ya ajabu huko na watu wanajua we unaona uko na malaika siku ya siku unajua unauliza kwa sababu ya kulinda penzi hasemi ukweli kama tunavoamini anakupenda kulinda penzi lenu unapata ukweli kwa watu barabarani si unamuamini bwana yote yatakuwa sawa tena kweli ? au ndo yaleyale tunakubali yaishe


 
asante nahisi tunawaza mamoja

ni muhimu kuwa honest katika 'love', ila with a note kwamba kila usemacho chaweza kutumiwa kama silaha dhidi yako wakati wa downs na ups za hiyo 'love'.
btw: nadhani kichwa sahihi zaidi ni love and honesty.
ukweli ni sehem ya uaminifu.
 
Dia uko sahihi kabisa na ni wazi utaumia sana.....but what am refering here nio zile passt......what you did in the past ambayo we unahisi ukisema iutamuumiza au atashindwa kuicontain...........shpould we keep in our little closet or should we say it all?? If we decide to keep it asecret, should it be considered as a sin or not?
 
vingine Tausi ni kama moshi hufuka popote utaficha we nakwambia hunyoosha mkono yenyewe yaonekane hayahitaji tena safe ya kuhifadhiwa

What u don't know wont hurt you.Be careful when deciding what you need to disclose.
 
ok dada sasa hapa ngoja niwaachie wataalamu maana nilthubutu kuhadithia historia nakwambia ilikula kwangu ngoja nijifunze kido kutoka kwenu


 

kama kuna jambo ambalo laweza kutumika dhidi yako, ni vema ukanyamaza (Japo kwangu kunyamaza kwa mambo ya msingi ni uongo pia).

btw, mjukuu hapaswi kuona via mobile.
 

Don't be confused. In essence and especially in this context, they both mean the same thing because they both have to do with the adherence to the "fact(s) (whatever that fact or those facts may be)".

Its just wordplay....
 
i think one has to accept everything akikubali kuingia in a relationship about your partner's acts za pasts,.what matters is what is happening today and what will happen in the future..say what is true,(for those that you know akija kujua itakua a big deal)..keep what is minute,.lakini kama mko serious co unatok tu.
.for those who believe in Love,.its better hearing the truth that hurts from the one you love than hearing it from others.
 
Do you love her because she is beautiful,
Or she is beautiful because you love her?
 
Tracy you are right but remeber the past predicts the future and most of people tends to judge the future by looking at the past...mfano....ulishawahikuolewa and then mambo hayakuwa then you decided to leave him kwa sababu yoyote ile na kumpenda huyo ulonaye sasa..............even if in a defencive way............most of the people watakuwa na wasi kuwa na wao wanawezaachwa so wanakaa mguu mmoja ndani mwingine nje akiamiuni naye atajaachwa tu..............
 

I wouldn't say the past is a predictor for the future but rather a guide. The future can't be predicted but prepared for...
 
"ukweli" upo ili kuleta manufaa, kwenye situation ambayo "ukweli" hauna manufaa basi "uongo" unachukua madaraka ya "ukweli" na kwa vile "uongo" mara zote ni timebomb waiting to explode, basi si vyema kusema "uongo" kama kuna option ya kuuficha "ukweli" bila kusema "uongo".
 
MJ1,.hamna mtu ambae yuko perfect,.if you do not have a past that is rather not pleasing,hujui what will happen 2day or in the furure,.
my past has nothing to do with my present or future,kama ndo hivo then ther wouldnt be something called forgiveness..
In a relationship,kujishusha na kujua u aint perfect is important,.that includes knowing that what your partner did in the past is human,what matters is how he or she is now!.ukweli only when its crucial.
 
sorry to say this most men use this kutufanya tujikie guilt na kuhalalisha makosa yao

what if i start judging your present deeds with the confessions you made??.
halafu wewe.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…