LOVE and TRUTH...................................

Wakati fulani hizi extended family zinazotukabili waafrika zinatufanya mambo mengine tusiwaambie wandani wetu, hebu fikiria ndugu yako ana shida ya hela ukamsaidia, mke nae atajitahidi kuweka mazingira ya shida kwao ili nako upeleke hela, yaani ni shida kweli. Lakini lazima tujitahidi kwa % kubwa kutofichana mambo yetu kwani inaongeza upendo.
 
better lies that can make u smilena half truth zinazoepusha migogoro kulikoukweli utakaokufanya unichukie........
 

Babu aint comment nothing.... coz dis is for grandies to discuss.

Babu he happy if told the truth.....Babu aint tell no lie....Babu is honesty. Babu love 'em honesty women who love babu. Tell babu da truth, be honesty to him babu and babu will love da whole of yaa. Do you understand woram talkin 'bout?
 

Hata mi nimeelewa pia....
Lakini...if Babu tells the truth--then whr does Babu's favourite game (infidelity) fits in?? :confused2:
 
Well I think you are right tracy ......but can I say that it also depend na anayeambiwa ukweli huo ? Kama ni mwelewa it will be well and good but if s/he is not mydia...........you will be in for it.......... utajaanza tu kusikia ... especially during those times when you guys are down........ maugomvi ya kila mara ... utashangaa tu unaambiwa ndio maana ulifanya hivi au ulikuwa hivi... au well sikushangai kama mama au babako alishawahi kufanya a or b itakuwa wewe!!
 
Oh God

Liar Liar... never knew
Not what you are thinking kaka Acid.....I will give you an example

I had a friend whose mother used to date marios and friends' husbands sasa that was hurting sana my friend but well she was her mother. Akajampata mpenzi and wakafanikiwa kufunga ndoa, si unajua tena pillow talks and the alike, binti si akamsimulia mwenzi wake dukuduku lake la siku nyingi (by that time mama alikuwa tayari ameshafariki kitambo). After a while as you know maisha ya ndoa kuna ups and downs...... baba akajapata nyumba ndogo akakamatika hasa. Mdada akiuliza anaambiwa usinisumbue kama vipi fanya kama mamako alivyokuwa akifanya... after all it runs in your family..........

This is what I mean by not telling.......
 
Hata mi nimeelewa pia....
Lakini...if Babu tells the truth--then whr does Babu's favourite game (infidelity) fits it?? :confused2:

Babu hajawahi kuficha kama yeye ni infideleta...si kweli? You be happy with him babu...ok? Now, welcome aboard darling.
 
Nadhani Chapa Kazi hapa umenipata sawa sawa...............si lazima liwe jambo la mapenzi tu but kuna mabo mengine ya familia ambayo pale mnapooana unajisikia kuwa mu wamoja and unatamani sana kumshirikisha but inaweza isiwe sahihi
 
Babu hajawahi kuficha kama yeye ni infideleta...si kweli? You be happy with him babu...ok? Now, welcome aboard darling.

Soo if Bibi nae comes forward that yeye ni infidelitee its ok...?
Si she said the truth...?
 
Dada vipi unaishi "York Shire" ,maana naona Kiingereza kimezidi mno katika mawasiliano yako na wengine!!!!????
Chapa Kazi..huu sasa uonevu...thread nzima ni mimi tu niloandika lugha hii?............
 
Babu hajawahi kuficha kama yeye ni infideleta...si kweli? You be happy with him babu...ok? Now, welcome aboard darling.
ni kweli Babu hajawahi ficha.................but pia hajawahi sema.
 

Sasa you go to a situation whereby the person is not honesty you go to the extent ya kugunda who is he/she and after finding out he/she is not honesty to you tena at that time anakuwa amekubishia sana kwamba he/she is honesty baada ya kugundua ukweli anakwambia he/she was not telling you the truth just because he/she wanted to save your relationship from being torn apart na ninakuwa najiuliza why don't you admit and say sorry instead unakataa kwa muda mrefu halafu baadae unakubali kwa kigezo cha kusema kwamba eti you were protecting our relationship which is really ridiculous
 

It also depends maana kuna watu wengine huwa hawabadiliki they tend to act so that to please in certain period of time baadae wanarudi kwenye tabia yao kama kawaida
 
Soo if Bibi nae comes forward that yeye ni infidelitee its ok...?
Si she said the truth...?
Baby cmon! Kwani linakuwa tangazo? Kuna matukio kadhaa ambayo ntajua tu bibie tayari kashaanza kuwa infidelee. Hata mi sijamwambia, lakini for sure anajua kabisa hili jamaa si bure. Unapoambiwa "Please honey, hao wanawake zako, tafadhali play it safe" of which ni kweli unafanya hivyo unaonaje hapo?

Bibi knows japo kwa kuhisi kuwa babu ni infii. Na babu kwa heshima, hawezi kujidhihirisha kiviiiile ili amuumize. Infidelity is there to stay, cha msingi ni kutokuumizana na wala si kuambiana eti mimi ni infii.
 
Babu nakuelewa but kumbuka kuwa the thread is about yaliyopita!! Let me ask you a question.......kama hakuwa safi huko nyuma but after having you ameamua kuwa safi and honesty (by telling the truth juu ya chochote kinachotokea SASA wakati uko naye) Je siku ukijagundua yale ya kale will you judge him/her for that??
 
It also depends maana kuna watu wengine huwa hawabadiliki they tend to act so that to please in certain period of time baadae wanarudi kwenye tabia yao kama kawaida
Now you see? telling it all inawezamweka mpenzio kwenye wakati mgumu hasa akiwa na mawazo kama yako Babu yangu.....kuwa unawezarudia uliyofanya zamani.
 

Depends na kilichofichwa.......kama unachoficha kina madhara kwa mahusiano ya sasa, hupaswi kufanya hivyo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…