Love at first sight

Wow..... Napenda story hizi nitawaletea yangu ya OPD ikitiki maana nishaitambulisha nyumbani
 
Anko nimekumiss. Msalimie aunt Ney
 
Hongera kulwa...
Sijui kwanini naona wivu😂😂😂
 
Kibatala: Je ulikuwa single wakati unatamani huyu kijana awe mwanaume wako?

Joanah: Sina pete kidoleni

Kibatala: Umejibu swali ambalo sijakuuliza, Jibu ni Ndio au hapana.

Joanah: Hapana, lakiniiiiiiiii

Kibatala: Hakuna cha lakini hapa. Je nitakuwa sahihi kuiambia mahakama kuwa ulitamani na kuwaza kufanya kitendo cha usaliti na ukatekeleza azma yako

Joanah: Naomba niende washroom.😂😂😂😂

Nakutania dada yangu . Hongereni.
 
Naomba nijibu swali ulilouliza 🤣🤣🤣 Mimi imenitokea na mwanaume mwenyewe ndio mume wangu 8yrs now with him, najisemea tu which of the favor of my Lord will I deny? Yan hakuna
Nilikutana nae high school , tukiwa assemble nikamuona mkaka armesing uiii nasisimka hapa nikikumbuka Ile siku. Mtoto nilikua sijawah kua hata na mwanaume akaja nae assemble kumbe nae ndo kaja shule kujiunga form five ayayayay nilikua driven by his body and eyes.
Mkaka akawa arts mie science. nikawa na shoga angu yupo arts,( wake marafiki tunaokaaga watatu) sasa huyu shoga angu nikaeka mkakati kila tukitoka darasan anisubiri nimpitie ili iwe chance ya kumwona huyu mkaka, kumbe nae akawa amenielewa , siku ananisogelea Ile body spray yake ingenifanya niliwe kimasihara🤣🤣🤣🤣 ayayayaa acha niishie hapa maana naona naaza kuharibu.
I love him sooooo much my sensual healer
 
Anajua kwamba una uraibu wa kamari?

Kama hajakukataza kubeti basi tuendelee na mada yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…