Love at first sight

Jirani kwani we hiyo hali haikutokeagi??..

Mi hata humu kuna watu sijawahi hata kuwaona Ila nimekufa nimeoza juu yao..Hii sijui tunaiitaje kitaalam..lol

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Out Patient Department imenipatia mke mtarajiwa
dah!

hivyo ni kweli, Madokta hamchezi nje ya Hospitali, kama sio nesi, basi dokta mwenzako...kama sio mgonjwa basi ndugu/jamaa wa mgonjwa.

Umepita mule mule πŸ˜ƒ
 
Nami naleta confession yangu:

Those days niikiwa chuo nakumbuka tulikua kwenye UE tukawa tunafanyia group discussion kwenye vimbweta vya wakaka sometimes wanakuja kwetu. Hiyo siku nilienda kumuita group member kwenye room yao ya wakaka. Aisee nimeingia hivi jamani nilimuona huyo kaka wa college tofauti, moyo ulishtukaa nilipata hisia ya ajabu hadi nikasahau kama nimemfata classmateπŸ˜€, nikawa namlia timing kumwangalia😍 afu akawa anaongea niliskia ana sauti ile nnayoipendaga(kubwaa)aisee na alikua na mwili fulani hivi mama weee. Nilinote na yeye ananiangalia flani hivii sijui naye alipatwa na nini. Nikaondoka mawazo yote namfikiria.

Sikurudi tena ile room am a shy person, na pia nisingeweza kumface tena sitaki ajue nna hisia naye, akawa anamuagiza yule classmate aniombe niende tena room kwao, Yule classmate alivo jinga anakuja kunisema "we chizi kuna mtu anakupenda mle ndani kwetu anakusemasema, ila nimemwambia wewe ni manzi angu aache kukufatilia" yaani alikua hajui tu kuwa mimi mwenyewe nampenda huyo kaka sana πŸ˜‚.

Alikua ndiyo anamaliza chuo mimi nikiwa ndiyo naingia 3rd year so akarudi zake home mwisho wa reli huko, sasa tumefungua chuo nipo class najisomea naona namba ngeni inapiga mmh kupokea akajitambulisha ni yeye nikajidai simkumbuki vizuri, then nikamkumbuka aisee i was super excited. Akaniambia alinielewa since ile siku nimeenda room kwao blah blah, ila aliogopa yule classmate alisema natoka naye nikamwambia hapana si babe wangu, akanipiga sound, mimi naona nachelewa kumwambia yes i do, nikamuuliza tu baadhi ya maswali baada ya kujiridhisha nikamkubalia hapo hapo, yaani wakuu huu mtongozo ndiyo uliochukua muda mfupi zaidi hadi kukubaliwaπŸ˜‚ ndani ya 15minutes hivi nishamkubalia tayari tumekua wapenzi πŸ˜€.
Huku na kule tunaulizana birthdays kumbe tunashare birthday yaani tulizaliwa siku moja mwezi mmoja kasoro miaka tu, nikazidi kufall in love kwake.

Long distance relationship ikatuletea shida akawa na wivu mnooo na haniamini aah na mimi pia simuamini ni ugomvi tu, basi tukajaachana. So nishawahi kuexperience love at first sight.
 
Stahiki zake uliwahi kumpa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani kidogo, baada ya kukaa pamoja kwenye seat namba 9 na namba 10, nani alimuanza mwenzake please?
 
Kweli kabisa unamhusisha Mungu katika tamaa za mwili wako? Huyo labda shetani. Tufikirie sana tunapomwongelea Muumba. Ni sawa na jambazi anayeomba aue, aibe na asikamatwe halafu anasema nilimwomba Mungu!!
Ombeni nanyi mtapewa tafuteni nanyi mtapata bisheni nanyi mtafungiliwa.
 
Bila shaka Siku hiyo ya Kwanza Uliliwa kimasihara,pili utakuwa ulijitongozesha mwenyewe au kumtongoza huyo jamaa yetu.Na kabla ya sex mbususu yako itakuwa inalowana tu kabla hata ya kuguswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…