Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Sijawahi kumpenda mtu naomba tu siku itokkeeeee Amin
Sijui kwa nini?
Sijui kwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dp yako inanivunja mbavu sana...Hahaha!Love is a beautiful thing.
Ah kwa hiyo hakula mbususu ya financial analyst🤣🤣🤣🤣Nami naleta confession yangu:
Those days niikiwa chuo nakumbuka tulikua kwenye UE tukawa tunafanyia group discussion kwenye vimbweta vya wakaka sometimes wanakuja kwetu. Hiyo siku nilienda kumuita group member kwenye room yao ya wakaka. Aisee nimeingia hivi jamani nilimuona huyo kaka wa college tofauti, moyo ulishtukaa nilipata hisia ya ajabu hadi nikasahau kama nimemfata classmate😀, nikawa namlia timing kumwangalia😍 afu akawa anaongea niliskia ana sauti ile nnayoipendaga(kubwaa)aisee na alikua na mwili fulani hivi mama weee. Nilinote na yeye ananiangalia flani hivii sijui naye alipatwa na nini. Nikaondoka mawazo yote namfikiria.
Sikurudi tena ile room am a shy person, na pia nisingeweza kumface tena sitaki ajue nna hisia naye, akawa anamuagiza yule classmate aniombe niende tena room kwao, Yule classmate alivo jinga anakuja kunisema "we chizi kuna mtu anakupenda mle ndani kwetu anakusemasema, ila nimemwambia wewe ni manzi angu aache kukufatilia" yaani alikua hajui tu kuwa mimi mwenyewe nampenda huyo kaka sana 😂.
Alikua ndiyo anamaliza chuo mimi nikiwa ndiyo naingia 3rd year so akarudi zake home mwisho wa reli huko, sasa tumefungua chuo nipo class najisomea naona namba ngeni inapiga mmh kupokea akajitambulisha ni yeye nikajidai simkumbuki vizuri, then nikamkumbuka aisee i was super excited. Akaniambia alinielewa since ile siku nimeenda room kwao blah blah, ila aliogopa yule classmate alisema natoka naye nikamwambia hapana si babe wangu, akanipiga sound, mimi naona nachelewa kumwambia yes i do, nikamuuliza tu baadhi ya maswali baada ya kujiridhisha nikamkubalia hapo hapo, yaani wakuu huu mtongozo ndiyo uliochukua muda mfupi zaidi hadi kukubaliwa😂 ndani ya 15minutes hivi nishamkubalia tayari tumekua wapenzi 😀.
Huku na kule tunaulizana birthdays kumbe tunashare birthday yaani tulizaliwa siku moja mwezi mmoja kasoro miaka tu, nikazidi kufall in love kwake.
Long distance relationship ikatuletea shida akawa na wivu mnooo na haniamini aah na mimi pia simuamini ni ugomvi tu, basi tukajaachana. So nishawahi kuexperience love at first sight.
Mkuu niache na huu mmbususu wangu, usinikumbushie machungu😂Ah kwa hiyo hakula mbususu ya financial analyst🤣🤣🤣🤣
Alikula mbususu na kuanza kuwa na wivu wakupitiliaza....basi mbususu hiyo tamuMkuu niache na huu mmbususu wangu, usinikumbushie machungu😂
😂😂😂 mbususu inafinyia kwa ndani siyo?Alikula mbususu na kuanza kuwa na wivu wakupitiliaza....basi mbususu hiyo tamu
Hapo lazima kidume uwe na wivu maana kupata mbususu ya hivyo ni bahati😂😂😂 mbususu inafinyia kwa ndani siyo?
Kila nikimtazamaMkuu niache na huu mmbususu wangu, usinikumbushie machungu[emoji23]
But am sorry to tell you hata hatuelekeani kabisa, mimi ni kibonge😂 na sina low cut kama yeye
Wanyaki Ni wanene haswa traako lzm liwepoBut am sorry to tell you hata hatuelekeani kabisa, mimi ni kibonge[emoji23] na sina low cut kama yeye
Basi mimi nipo tofauti kidogo ni mnene na sina tako 😄Wanyaki Ni wanene haswa traako lzm liwepo
SasaBasi mimi nipo tofauti kidogo ni mnene na sina tako [emoji1]
Hakuna mnyaki asiye kuwa na traako tulia pekee ake ndio kakosa tu ila wengi siyo kitu Cha ajabu Kijiji au mtaa mzima wanawake kuwa na traako hata wee lzm utakuwa umejaliwa trakoo na unyakiyusa fln HV unyamaa Sanaa fsBasi mimi nipo tofauti kidogo ni mnene na sina tako [emoji1]
Wa Kyela hawanagaWanyaki Ni wanene haswa traako lzm liwepo
Nakalia shingo kabisa, sina hata tako mojaSasa
Unakalia mgongo[emoji848]
Happy new year wapendanaoHey guys
Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako?
Imenikuta stendi ya mabus mkoa fulani kuja Dar. Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini alikuwa ananiangalia vizuri namna ile...kimoyo moyo nikaweka sala fupi "ee Mungu huyu kaka hata nisipokaa nae seat moja naomba nisafiri nae bus moja tu" halafu nikamalizia na Amen,nikaingia kwenye bus
Nimefika kwenye bus nikakaa nikiendelea kusali sala ile ile ya Mungu asaidie yule kaka kuwepo ndani ya bus nililopo,nikajisemea ngoja nitoke ndani ya bus nijifanye naenda washroom ili nimuone hata mara nyingine,nikatoka nikaenda washroom
Mungu ni mkuu jamani, nilivyotoka washroom nikaingia ndani ya bus nikamuona yule kaka ndani ya lile bus, mimi namba 9 yeye 10
Sikuwahi kuona safari fupi kama ile japo kiuhalisia ni safari ndefu mnoooo, masaa yalikimbia fasta kinyama huku tukiwa tumezoeana kama vile tulikuwa tunafahamiana kabla.
Hiyo ni mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo,tumekamilisha mwaka with my man 😊😊 Japo haiwahusu wala haiwasaidii kitu lakini nawaambia tu...nampenda huyu mwanaume
Naona kila kitu changu kinampenda,macho yakimuona napata ile amani ambayo siipati kwa yoyote,mwili wangu umemkubali mana nina hisia kali sana juu yake,nikiisikia sauti yake napata ile hamasa ya kuendelea kumsikiliza akiongea hata kama haongei na mimi
Sijawahi kuwa mdau ya ngono lakini tangu nikutane naye nataka kila muda tuwe peke yetu chumbani
Cheers to many years with my man 🥂
Am so in love!
Utajua tuSijawahi kumpenda mtu naomba tu siku itokkeeeee Amin
Sijui kwa nini?
HahahaHongera kwenu love birds....😍