Love at first sight

Kipindi flani ka mwili kalipo anza kunona. Kila jumapili navaa vizuri naenda kanisani. Siku moja Ile nimefika kanisani nimekaa sina hili Wala lile mdada mmoja akageuka nyuma tukakutanisha macho ilikua just waaoo.
Yule dada alitoka alipo kua amekaa akaja moja kwa moja kwenye siti yangu akaomba mtu mmoja ampishe ili azungumze na mimi akiwa na furaha Sana na ndio ilikua first time tumeonana.
Alinichangamkia akanihoji vitu vingi ikawa Kama watu tulio kutana zamani na tulio Juana muda mrefu ali fall in love at first sight sikua interested kuchukua namba yake Ila akapokonya simu yangu huwa siweki password akaandika namba na kujipigia akiwa na furaha Sanaa.

Tukawa tuchati Sana pigiwa Sana simu usiku Akaniambia ili ingiwa na shauku, alinipenda at first sight na hakutaka anipoteze tukawa tuna hang out beach, nikatambulishwa kwa ndugu, akanipeleka kwake maana alikua na kazi nzurii tu, tunaenda church wotee tuka date.

Ni Mimi tu sikumchukulia serious dada wa watu baadae nikawa busy namba niliyo mpa ilipotea na sikuirudisha

Nina matukio mengi Sana ya kupendwa na wadada katika upbringing yangu Leo nimetoa kimojaa nikipata wasaa ntakua naongezea hapa.
 
Jamaa anafaidi sana....mwanamke akupende yeye alooh mbususu yote anakususia
 
Ndo shida ya kua muhandsome.
 
Wagegede mwanawane tena usiishia hapo mwagia mbegu kabisaaa watakupenda zaidi nanzaidi
 
Utakuwa unafaa kwa matumizi ya binadamu.,shake well before use,weka mahali pasipofika watoto...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…