Love at first sight

Saivi je imekuwaje pangu pakavu sio!!
 
hapo kati hapooo... KILA KITU CHAKO KINAMPENDA
 
Hahaha nakuonea wivu mkuuu!
Demu alikuwaga mzuri au wa kawaida!
Namaanisha shape na sura!!
Vyote vipo sura,shepu na everything sema TU.
Usipo mpenda mtu basi usimuumize let her/ him go.
Kwangu nili mhurumia dats sikutaka kumuumiza zaidi ndio maana sikukaa nae Sana.
 
Hadi vicheche wapo kanisani?? Huyo mzoefu ana mivyeti kabisaa.!! Huku uraiani tu huwezi kujizima data hivyo sembuse church jamani 😹😹😹
 
Unafanyaje mpaka unawapata!!!!!
Mwonekano, bahati ,nyota, mvuto wa asili.
Ni ivyo tu sijafanya jitihada zozotee mkuu automatically.
NB.
Kwa Sasa Mimi ni mtu mzima 40's na na familia na watoto sina Tena hizo mambo kwa Sasa tukio nililo simulia ni tukio la zamani.
 
Kuna sehemu nilikua nafanya field kuna mzee yule itakua yupo kwenye 50's ni handsome ana mvuto
Alikua akiingia ofisini wanafunzi wa field tunabonyezana! ni raha kumtizama.
 
Hadi vicheche wapo kanisani?? Huyo mzoefu ana mivyeti kabisaa.!! Huku uraiani tu huwezi kujizima data hivyo sembuse church jamani 😹😹😹
Hujawai kupenda wewe..yaan uwe na kila kitu maishani..ukose mwanaume TU. Na ukafanikiwa kumuona dream man wako.

Yule dada alinambia alipo niona alikua yupo kwenye mfungo wa kupata mchumba/ mwanaume sahihi na alipo niona roho mtakatifu akamuelekeza anifuate ndipo safari yetu ilipo anzia..

Mapenzi ni kitu Cha ajabu Sanaa...wapo hata walio toa uhai kwa ajili ya mapenzi....Lamony usha wai kupenda/ kupendwa?
 
Kuna sehemu nilikua nafanya field kuna mzee yule itakua yupo kwenye 50's ni handsome ana mvuto
Alikua akiingia ofisini wanafunzi wa field tunabonyezana! ni raha kumtizama.
Nakubali ephen Hutokea 😊☺️ Ila Laamony anabisha kua mtu hawezi fall in love at first sight Tena kanisani πŸ˜…
 
Mwonekano, bahati ,nyota, mvuto wa asili.
Ni ivyo tu sijafanya jitihada zozotee mkuu automatically.
NB.
Kwa Sasa Mimi ni mtu mzima 40's na na familia na watoto sina Tena hizo mambo kwa Sasa tukio nililo simulia ni tukio la zamani.
Kama una 40's ni dhahiri we ni wa 1980's huko duuh!
 
Kuna sehemu nilikua nafanya field kuna mzee yule itakua yupo kwenye 50's ni handsome ana mvuto
Alikua akiingia ofisini wanafunzi wa field tunabonyezana! ni raha kumtizama.
Hahaha nimecheka sana mpaka field tena

Nyie mabinti ndo mnaopendaga ma handsome boys

Vipi hamna mmoja wenu aliyefanikiwa kujiweka hapo!!!
 
Hahaha nimecheka sana mpaka field tena

Nyie mabinti ndo mnaopendaga ma handsome boys

Vipi hamna mmoja wenu aliyefanikiwa kujiweka hapo!!!
Sijui kama kuna aliyejiweka ila yule mzee alikua hana habari na sisi zaidi ya salamu tu.
Ni mtu mzima ngozi imeanza kujikunja ni hivyo tu anazeeka na utamu wake.
 
Mwanao nakuzoom tuu unavyo jimwamba fayi hapa πŸ˜‚πŸ˜‚

Unakumbuka nyimbo ya nitakwenda kumwambia mama aah 😝

Hope you are doing well mzee wangu
Wimbo kwenye shooting yupo MAREHEMU PEMBE NA RUNGU LAKE LA COMRADE KIPEPE πŸ˜…

Kwaio mkuu hujawai pata ku fall in love at first sight 😊☺️
 
Wimbo kwenye shooting yupo MAREHEMU PEMBE NA RUNGU LAKE LA COMRADE KIPEPE πŸ˜…

Kwaio mkuu hujawai pata ku fall in love at first sight 😊☺️
Imenitokea nikiwa primary kabisa Kuna binti huyo i was catching feelings to her....... Mpaka ikatokea siku tulikuwa na nn tukawa tumekaa wote nilihisi kutua mzigo!!

Nimeruka ruka

Mwingine alikuwa chuo huyu angenifanya nife kabisa......... Uzuri mmi nili mwona presentation Ila siku mtilia maanani

Ila siku nipo canteen nimekaa nikamwona anapita ana vyo cut walk !! Aseeh nilihisi kufa kufa

Nikampata kupitia rafiki ake..... Tukazoeana hapo siku moja akaniambia napenda nikuangalie una nyusi nzuri napenda mwanaume mwenye nyusiπŸ˜‹

Nikasema hapa hapa....... kumbe yeye alishaniweka akilini nami hivyo hivyo.... so far tulimalizia mwaka wa tatu vizuri sana πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…