Imenitokea nikiwa primary kabisa Kuna binti huyo i was catching feelings to her....... Mpaka ikatokea siku tulikuwa na nn tukawa tumekaa wote nilihisi kutua mzigo!!
Nimeruka ruka
Mwingine alikuwa chuo huyu angenifanya nife kabisa......... Uzuri mmi nili mwona presentation Ila siku mtilia maanani
Ila siku nipo canteen nimekaa nikamwona anapita ana vyo cut walk !! Aseeh nilihisi kufa kufa
Nikampata kupitia rafiki ake..... Tukazoeana hapo siku moja akaniambia napenda nikuangalie una nyusi nzuri napenda mwanaume mwenye nyusiπ
Nikasema hapa hapa....... kumbe yeye alishaniweka akilini nami hivyo hivyo.... so far tulimalizia mwaka wa tatu vizuri sana π