Love at first sight

Love at first sight

Imenitokea nikiwa primary kabisa Kuna binti huyo i was catching feelings to her....... Mpaka ikatokea siku tulikuwa na nn tukawa tumekaa wote nilihisi kutua mzigo!!

Nimeruka ruka

Mwingine alikuwa chuo huyu angenifanya nife kabisa......... Uzuri mmi nili mwona presentation Ila siku mtilia maanani

Ila siku nipo canteen nimekaa nikamwona anapita ana vyo cut walk !! Aseeh nilihisi kufa kufa

Nikampata kupitia rafiki ake..... Tukazoeana hapo siku moja akaniambia napenda nikuangalie una nyusi nzuri napenda mwanaume mwenye nyusi😋

Nikasema hapa hapa....... kumbe yeye alishaniweka akilini nami hivyo hivyo.... so far tulimalizia mwaka wa tatu vizuri sana 😂
So haya mambo yapo Sana na tukisema tushuhudie shuhuda ni nyingi..
 
Hujawai kupenda wewe..yaan uwe na kila kitu maishani..ukose mwanaume TU. Na ukafanikiwa kumuona dream man wako.

Yule dada alinambia alipo niona alikua yupo kwenye mfungo wa kupata mchumba/ mwanaume sahihi na alipo niona roho mtakatifu akamuelekeza anifuate ndipo safari yetu ilipo anzia..

Mapenzi ni kitu Cha ajabu Sanaa...wapo hata walio toa uhai kwa ajili ya mapenzi....Lamony usha wai kupenda/ kupendwa?
Zinakuwaga nyege wala sio mapenzi 😹😹
Mkishanjunjana na gubu linaanza, mara pap mnapigana chini..!!

Kuna mkaka nilipanda naye bus alikuwa ananitolea macho nikajua kanielewa kumbe anafikiria jinsi ya kuachia shuzi..!! Bus lilikuwa na AC lakini tulifungua madirisha 🤣
 
Hii mbona kali sana
 
Alijikausha au ilikuaje maana kusababisha gari ifunguliwe madirishaa huo ushuzi ni wa SGR 😊 😊 😅 😅 😂
 
Seat namba 9 na namba 10 nayo ulipata shida hivyo ya kumtafuta!! 😀
Kila la Heri kwenu
 
Back
Top Bottom