Love at first sight

Asante dadaaa
Lakini sio birthday yake leo
😂😂😂😂Aaah heri ya kutimiza mwaka mmoja katika furaha yenu ya malavidavi,, oooohwww imekaa kama birthday wish vile,, hongereni tena,, kadunia kalivyochafuka ukibahatika kupendwa hivi lazima ujione una bahati,, na penzi la kweli na la kudumu huwa linajidhihirisha baada ya miezi 6 mpaka mwaka..... Sasa kwa shangwe hizi na Ni mwaka, mdogo wangu km nakuona genye zake usivyomshiba Yani,, unatamani umle mzima mzima😋😋😋😋😋

Enjoy hun
 
Haya sasa, wanawake na nyie mtupe majibu huwa mnafanyaje katika situation kama hii iliyomkuta mtoa mada mwaka uliopita. Mtoa mada amekwisha kueleza yeye alisali wapande bus moja.
 
Imetokea sio Mara moja wadada Wana fall at first sight kwangu huwa nawaonea hurumaa ila ending point huwaga sio nzuri...

Kaka zangu wa ukoo Huwa wananambia KUA mini ni mbegu nzuri
 
Kwaiyo ww ndio ulianza kumtongoza? [emoji12]
 
You just hit and run eeh? Unahisi ni kwanini wanafall hivo? Are you good looking person? Unanukia vizurii🤪
Of course mimi nimerithi sura nzuri ya mama na mwili mzuri wa baba....

Ukiniona tu utagundua ni mtu mpole, mkarimu na mwema, mwenye mvuto na everything you need ambae ulikua unamuota....

So it depend..Ila ukinivutia sikuachi usipo nivutia huwa sikukuli...
 
Ok, uko vizuri mkuu👏 so huwa hutulii na babe mmoja? Au huyo yupo na watakaojilengesha unapita nao? 🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…