Love at first sight

Naweza kuamini ni demu tena pisi kali

Ila duh! ana bet, utata mwingine huo

Depal nakuaminia nitoe tongo tongo, samawani lakini
Nina rafiki angu ni mrembo sana ila kubet jamani 😂 yule dada anabet... Kwahiyo sishangai sana ya Jojo Ku bet...


Ni mdada huyo, pisi uelekeo wa kina Mobetto.
 
Nina rafiki angu ni mrembo sana ila kubet jamani [emoji23] yule dada anabet... Kwahiyo sishangai sana ya Jojo Ku bet...


Ni mdada huyo, pisi uelekeo wa kina Mobetto.
Eeh[emoji848][emoji849]
 
Siku ya pili nimehamia kwenye kigeto changu 2018, nimeenda mazoezi jion.....

Ile narudi nakuta mtoto pisi kali jiran yangu anapika kibarazani...

Ni mtoto wa mzee mmoja anafanya kazi taasisi fulani ndo alikua amehamishiwa Dar kutoka mkoa fulan kanda ya ziwa huko...

Huyo binti yake ndo alikua amemaliza chuo Akaja kuishi na mzee wake baada ya kupata intern kwenye taasisi moja private..

Basi ile nimerudi mazoez nimevua shati namkuta mtoto sura ya kitusi kanapika kenyewe.. Ile kuniona nimekasalimia kanaitika kwa aibu pasipo kuniangalia....

Baada ya kupumzika na kufua nguo za mazoez, nikakaomba namba kakanipa nika kabeep kakasevu namba yangu....

Usiku saa 5 kenyewe kakaniandikia msg kuniuliza kama nimelala....kufupisha stori aliniambia amevutiwa na body yangu na alikua anasisimka kila akinipiga jichooo...

Kesho yake nimetoka kabla ya muda wa kazi mapema kubinjuana palepale gheto kwangu....
Huo ndo ulikua mchezo wetu mpk nahama pale na kwenda dodoma..

Kipindi hiko alikuwa na mtu wake, na aliniomba nisimpenda mana nikifanya hivyo atanipenda sana na akiniangalia haoni kama tutafika mbali hivyo ingemuathiri huko mbelen....
She told me, I was her first Man to be loved at first sight and to have sex...


Tulikuja kutana tena tukakumbushia mara mbili nikiwa nimemmsindikiza kwenye harusi ya shost ake...badae akawa hataki tena hizi mambo kwani alinambia yupo kwenye serious relationship na mtu mpya....

Juzi kanipigia jamaa anazingua sana, nikirudi Dar nimcheki atoe stress...

Can't forget you Ney....ooo
 
Kule kimasihara

Hii stori ingependeza

Ielekeze huko
 
Mbona anakula kirahisi hivo, emu tuma picha yako tukuone[emoji4]

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Mimi kupenda at first sight ni kawaida ngoja nielezee kupendwa at first sight.

Mara yangu ya kwanza kabisa nilikuwa kadogodogo miaka ya nyuma huko, nilikuwa nimepanda costa kwenda eneo flani, bado ilikuwa inawatu wachache kwahiyo ilikuwa ikiendelea kupakia, siti ya mbele yangu kulikuwa na pisi mmoja alikuwa anarushiwa nyavu na jamaa mmoja alikuwa kalewa yeye akiendelea kukomaa, jamaa alikomaa hadi gari likajaa bila mafanikio ikabidi wamshushe safari ikaanza tukafika tukashuka kukawa kuna mwendo wa kutembea sina hili wala lile, pisi akapita na bodaboda, kufika mbele nikakuta bodaboda imesimama dem kashuka ananisubiri, nafika pale akaniuliza naelekea wapi nikamjibu, basi akaanza kurusha wavu, nimekupenda naomba tuwe marafiki, usinione malaya na n.k n.k basi sikuwa na hiyana nkamwambia sawa.

Nyingine nilitextiwa na namba ngeni, hawa wa namba ngeni ni wengi kiasi waliziiba kutoka sehemu mbalimbali, huwa sina hiyana ya kuwauliza maswali mengi walipozitoa ila asilimia kubwa walinichana kuwa wamenielewa. Anyway niishie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…