Love at first sight

Love at first sight

Hey guys

Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako?

Imenikuta stendi ya mabus mkoa fulani kuja Dar
Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini alikuwa ananiangalia vizuri namna ile...kimoyo moyo nikaweka sala fupi "ee Mungu
Du haukuliwa kimasihara?
 
Hongereni sana.Mnawapata wapi jamani?
Kusema kweli ni Mungu anapanga tu.Maana siku hiyo hata sikutarajia.Ngoja nikupe story kidogo.Nikiwa mwaka wa kwanza chuo cha ualimu nilifukuzwa chuo kwa kukosa ada.Nikarudi wilayani kwetu.Katika harakati za kutafuta namna ya kujikwamua nikapta kazi kwenye shule moja.Siku hiyo nilikuwa natoka staff room,nikasimama mlangoni kuangalia kulia kwangu nikamuona akiwa na wenzake wawili na Mara moja moyo ukaniambia huyu ndiye.

Muda ule yeye alikuwa kidato cha tatu anatafuta walimu wa tuitions. Baadaye nikawa najishauri moyoni kuwa huyu ni mwanafunzi achana naye.

Nilimchumbia rasmi alipomaliza f4,nikamsubiri mpaka akamaliza diploma yake nikaoa.Hivvyo tulidumu kwenye uchumba miaka mitano.Those were the best days of my life,maana nilikuwa na mtu ninayempenda na akanipenda.Mpaka sasa wote ni wafanyakazi wa serikali na tuna watoto watatu.
 
Happy birthday kwa shemela wetu, hapo kwenye hamu ya ngo.... Hongera mdogo wangu mkajaaliwe raha, amani na mapenzi tele katika safari yenu,,

Hakuna kitu napenda km kumsikiliza mwanamke aliye katika dimbwi la mapenzi, hongera tena,

Asante dadaaa
Lakini sio birthday yake leo
 
Kusema kweli ni Mungu anapanga tu.Maana siku hiyo hata sikutarajia.Ngoja nikupe story kidogo.Nikiwa mwaka wa kwanza chuo cha ualimu nilifukuzwa chuo kwa kukosa ada.Nikarudi wilayani kwetu.Katika harakati za kutafuta namna ya kujikwamua nikapta kazi kwenye shule moja.Siku hiyo nilikuwa natoka staff room,nikasimama mlangoni kuangalia kulia kwangu nikamuona akiwa na wenzake wawili na Mara moja moyo ukaniambia huyu ndiye.
Muda ule yeye alikuwa kidato cha tatu anatafuta walimu wa tuitions. Baadaye nikawa najishauri moyoni kuwa huyu ni mwanafunzi achana naye.
Nilimchumbia rasmi alipomaliza f4,nikamsubiri mpaka akamaliza diploma yake nikaoa.Hivvyo tulidumu kwenye uchumba miaka mitano.Those were the best days of my life,maana nilikuwa na mtu ninayempenda na akanipenda.Mpaka sasa wote ni wafanyakazi wa serikali na tuna watoto watatu.
Hongera sana
 
Back
Top Bottom