KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
sio nyie mmesinyaaa hahahaaaaa
Afadhali hiyo, mshikaji kakuta mkewe ndo kaharibiwa shingo kabisaaaa, kuuliza kulikoni, dada kasingizia wadudu wamemshambulia! jamaa kakubali maskini hajui lolote, hii niliisikia enzi za group discussion baada ya kuchoka na mtoa mada ndo yeye mwenyewe yalimkuta kwa huyo mshkaji wake!!
Hahaha Mwalimu hao cku izi hata shkamoo hawatoi..Mtoto wa form 2 kaka jambazi una kazi nae nini?
Doggy style na love bite wapi na wapi! Labda alama za makofi tu...lol
Hah haa em fafanua vizuri makofi sehem gani hasa.
Afu mim kama sielemi vile, love bite inamaanisha nini hasa? au ndo kwamba shughuli ilikuwa pevu?
You have said wellWhen you remember how hard it is to change yourself, you begin to understand what little chance we have of changing others.
Siku hizi hakuna, zamani nilikua naziona nje nje tu.
Pia siku izi hata umpate mtoto wa form two, hawezi kukuumiza kwa makucha shingoni.
Size zote kwao zinapita.
Siku hizi hakuna, zamani nilikua naziona nje nje tu.
Pia siku izi hata umpate mtoto wa form two, hawezi kukuumiza kwa makucha shingoni.
Size zote kwao zinapita.
Watoto unaochukua wananuka shingo utaiweka wapi love bite, halafu mke wa mtu au mme wa mtu utamwekea wapi love bite, unataka aachike,raha ya lovebite uwe atleast coloured, & no strings attached to ..........................., thank you vry much
usijali kiongozi kuna nmwalimi Gaijin apo juu atakupa darsa tu..
vampire state of mind