Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
sio nyie mmesinyaaa hahahaaaaa
shost umenena!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio nyie mmesinyaaa hahahaaaaa
Hahaha Mwalimu hao cku izi hata shkamoo hawatoi..
kama dem mweusi utaionaje sasa?
Watoto unaochukua wananuka shingo utaiweka wapi love bite, halafu mke wa mtu au mme wa mtu utamwekea wapi love bite, unataka aachike,raha ya lovebite uwe atleast coloured, & no strings attached to ..........................., thank you vry much
kiiza usinikumbushe enzi izo ulikuwa ukiwekewa hiyo unatembea na kioo ukijiangalia tuu na kumuwaza muwekaji siku izi sithubutu labda aweke ndani ya sketi ujana una kazi acha
Hao watoto wanaonuka shingo, kwann wasikuchumbue wewe shingo kwa kuzidia dozi??
Inaonekana siku izi watoto wanauwezo mkubwa sana wa kuhimili.