Love connect Party

Love connect Party

Wazo Langu

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
1,381
Reaction score
842
Mnaonaje tukifanya Love connect Party?
Woote wanaotafuta iwe mwanamke au mwanaume wote pamoja. Siku hiyo mwenye kupata apate, wa kudanganya wadanganyane na at the same time burudani.
Kila mtu atafungua wallet yake, kikubwa venue.
Imekaaje?
PM Ruksa
 
mhhhhh..... ntapita tena..... !!

Naona bado hakujakucha hapa....
 
Mnaonaje tukifanya Love connect Party?
Woote wanaotafuta iwe mwanamke au mwanaume wote pamoja. Siku hiyo mwenye kupata apate, wa kudanganya wadanganyane na at the same time burudani.
Kila mtu atafungua wallet yake, kikubwa venue.
Imekaaje?
PM Ruksa

wazo zuri,
kwa msaada wa kuandaa hiyo party muone Madame B
na mimi nitakuja :smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Ngaja mi nikuwahi wewe maana nitakua alone au una mtu Wazo Langu na itafanyika mkoa gani hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Am in, michango tunampa nani au kila mtu atakuja na pesa yake mkononi?
 
PM chache nilizopata naulizwa itafanyika lini, nimetoka chance kwa watakaopenda wapendekeze iwe lini.
 
Back
Top Bottom