Love connect Party

Love connect Party

 
Last edited by a moderator:
Am in, michango tunampa nani au kila mtu atakuja na pesa yake mkononi?
Nimeipenda sana hiyo, inabidi hata harusi tuwe tunafanya hivyo hivyo, kupunguza adha za michango.........
 
Hiyo isiwe ya love connect yaani hiyo tukutane,tunagegedana kila mtu anaishia kimpango wake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
umeshindwa kuandaa usaidiwe?

Mnaonaje tukifanya Love connect Party?
Woote wanaotafuta iwe mwanamke au mwanaume wote pamoja. Siku hiyo mwenye kupata apate, wa kudanganya wadanganyane na at the same time burudani.
Kila mtu atafungua wallet yake, kikubwa venue.
Imekaaje?
PM Ruksa
 
Hiyo isiwe ya love connect yaani hiyo tukutane,tunagegedana kila mtu anaishia kimpango wake
S

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Iwe hivyohivyo Love connect.
Ya kugegeda iwe ya kugegedana kama utakavyo wewe. Party mbili tofauti.
 
Du sasa ikiwa dar na mie nipo huku itabid nitafute mshenga mwaminifu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Utakuepo eeh...
Pendekeza basi,iwe nje au ndani?

anzisha uzi weka vigezo, weka siku , sehemu, kama ni mchango sh ngapi, idadi ya watu wanaotakiwa, vitu vitakavyokuwemo, muziki / chakula / vinywaji

vilevile onana na memba wanaojulikana hata kwa sura live mfano mtu kama madam b/ mtambuzi, ili isaidie watu waweze kutuma kwa mtu anayejulikana.

hata mimi najulikana kwa sura naweza saidia pia,🙂
 
tunaisubiri mkuuuuuu fanya harakaaaaa upweke utatumaliza tena m unijulishe kwa simu.
 
Sasa kama nimeoa/nimeolewa ila mwenzangu yuko mbali nami upweke umenizidi inakuwaje?ziwezi pata wa kubuz buz....
 
Itakuwa safi saana, hebu tuwasiliane kwa karibu tufanye hii kitu ni nzuri!!
 
Wazo la Love connect party limefikia wapi? sijaona hatua za maksudi za jambo hili ua pima joto? kama linakubalika basi mtoa wazo apendekeze eneo, atujulishe iwe kama vile vikao vya harusi kila mtu aje na uchakavu wake, tumakutana tunajumuika kwa pamoja, wazo lakini:smile-big:
 
Ni sawa lkn, huu uwanja ni uwanja wa mapambano, mkiweka wazi mkajuana hata majina yakweli kwa raha ya siku moja mjue mmejianika, mtafatiliwa na akina mwam...pamabazuko, ili mlipuliwe, better muendelee mkijua kukiwa jua au mvua mnaendelea kuchat, la wabaya watamjua kila mtu kwa jina lake halisi, na mapambano yatadorora.
 
Back
Top Bottom