Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Mnaonaje tukifanya Love connect Party?
Woote wanaotafuta iwe mwanamke au mwanaume wote pamoja. Siku hiyo mwenye kupata apate, wa kudanganya wadanganyane na at the same time burudani.
Kila mtu atafungua wallet yake, kikubwa venue.
Imekaaje?
PM Ruksa
Am in, michango tunampa nani au kila mtu atakuja na pesa yake mkononi?
Ngaja mi nikuwahi wewe maana nitakua alone au una mtu Wazo Langu na itafanyika mkoa gani hiyo?
Teh wazo zuri, mie nitafute nyumba ndogo kabisa
ngoja waje
itakuwa poa sana na mie nataka niwekd party ya migegedo
Sina cha maana zaidi ya kanokia kangu ka tochi na PASSWORD zangu za JamiiForumHalahala usije poteza ulichonacho