Love Connect

Nasiche

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2019
Posts
291
Reaction score
735
Asanteni kwa wote mlioniandikia jumbe pm

Nimetoa namba kwa mtu mmoja tu ambaye aliugusa moyo wangu.

Bado tunafahamiana kama marafiki na ikimpendeza Mungu tutakuwa wachumba, nashukuru kwa ushauri wenu mzuri katika post yangu nitauzingatia sana

Naomba mtuombee tu na kututakia mema

Asanteni Mungu awabariki wana Jf wote

#Pm imefungwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila lakheri..! Mkioana mje kuleta kadi za mialiko huku kuna boss Kiduku Lilo asikose kwenye kamati
 
kaugusa moyo wako sio...kila la kheri bibie...
 
Uchumba wetu umeshakomaa, Janga likipita tukavune tu...
Kuna memes jana nimesoma inasema...kwanini lockdown ikiisha tusianze upya kutafuta wapenzi.
 
Kuna memes jana nimesoma inasema...kwanini lockdown ikiisha tusianze upya kutafuta wapenzi.
Kwamba utakuwa umeshanichoka?
Ila ukifikiria kwa undani....ni majanga.
Lockdown ni jela bila hukumu...tuvumiliane tu
 
Kwamba utakuwa umeshanichoka?
Ila ukifikiria kwa undani....ni majanga.
Lockdown ni jela bila hukumu...tuvumiliane tu
Bora ningeweza kukuchoka maana nimeshindwa.

Ndiyo mwelewe kwanini mbwa akifunguliwa anakimbilia nje ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…