Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
- Thread starter
- #21
Nilipotea Toka mwaka 2021 simu nilikua Sina ndo kwanza nna wiki mbiliIla mkuu, fanya namna upate simu latest 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipotea Toka mwaka 2021 simu nilikua Sina ndo kwanza nna wiki mbiliIla mkuu, fanya namna upate simu latest 😎
🤣🤣Alaf na yeye anatafuta Humohumo daah kazi kwelikweli
Anataka kuosha rungu afu asepe 😂Mimi sio samaki hapo ndo tatizo lilipo.!! Huyo anafanya “Uvuvi haramu” 😂😂😂
Hii haili mb kabsa mkuu, inanusa mb 500 zinakaa wiki。Ila mkuu, fanya namna upate simu latest 😎
Ushasema “Baadae awe mke” kwahiyo ukimkinai unavunja urafiki
Sasa em imagine screen mzima inaonyesha comment moja tuu, sasa mpaka afike comment ya 20 c vidole vitakuwa vimechoka sana 😂😂😂😂 una ufala mwingi
Asante mkuu.Kila la kheri mkuu
Ndio unashusha nyavu 🤣Hah watu wana maneno eti"Uvuvi haramu"
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Katika kushusha nyavu unaweza kubaliwa au kukataliwaNdio unashusha nyavu 🤣
kweli una nyege mpaka akili haipo sawa nenda mbagala wapo wa elf3 yaani unaandika meseji yako Halafu unajijbu mwenyewe?Vipi na wewe Jimbo lipo wazi?au limechukuliwa
Acha “unaa” 😂😂😂Sasa em imagine screen mzima inaonyesha comment moja tuu, sasa mpaka afike comment ya 20 c vidole vitakuwa vimechoka sana 😂
Yani umetumia miaka mitatu mpaka kupata simu halafu unatafuta mke? Kuna maisha baada ya mgegedo,au utakua unamlisha nyasi?Nilipotea Toka mwaka 2021 simu nilikua Sina ndo kwanza nna wiki mbili
N kweli, nadhani hy simu Nshawahi kuitumia ila kipengele n speed mana hy n 2G afu wenzako tupo kwenye 5G.Hii haili mb kabsa mkuu, inanusa mb 500 zinakaa wiki。
Ishu n kwamba tuko mwaka gn afu yeye anatumia simu ya 2005 😎Acha “unaa” 😂😂😂
Ww yako iko wapi?
Yani umetumia miaka mitatu mpaka kupata simu halafu unatafuta mke? Kuna maisha baada ya mgegedo,au utakua unamlisha ny
Iyo ilikua Itel s12 saivi Infinix mjombaN kweli, nadhani hy simu Nshawahi kuitumia ila kipengele n speed mana hy n 2G afu wenzako tupo kwenye 5G.
Ila all in all Fanya namna upate hata katecno kilichochangamka cha 4G tena chini ya 150k unapata mpya dukani.
Yenye 4G natumia na ID nyingine。N kweli, nadhani hy simu Nshawahi kuitumia ila kipengele n speed mana hy n 2G afu wenzako tupo kwenye 5G.
Ila all in all Fanya namna upate hata katecno kilichochangamka cha 4G tena chini ya 150k unapata mpya dukani.
Mh hy screenshoot sio samsung kwel mzee wanguIyo ilikua Itel s12 saivi Infinix mjomba