Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
- Thread starter
- #101
Mmhh Kuna kitu kama hakipo sawa aisee😀😀😀Moyo wangu mimi hapa
Nishakupa wote wote
Hata nikiwa mbali niwe kama tuko wote
Akili yangu yaani hapa nakuwaza muda wote
Hata kama tukiwa mbali aaaah