Upendo haujifichi,
Upendo huvumilia yote
Upendo hauhesabu mabaya.
Upendo ni AMRI ya Mungu.
babu duh hizo za kwako ni challengeable
Siku hizi nikitaka kukupenda naanza kuhesabu umefanya mabaya kwa wadada wangapi
Ukinichefua sivumilii nasepa zangu
Nampenda Mungu kwanza halafu kama nahitaji kukupenda na wewe naanza kuhesabu bitafaidika na nini kwanza