Love defined........................

Upendo haujifichi,
Upendo huvumilia yote
Upendo hauhesabu mabaya.

Upendo ni AMRI ya Mungu.

babu duh hizo za kwako ni challengeable
Siku hizi nikitaka kukupenda naanza kuhesabu umefanya mabaya kwa wadada wangapi
Ukinichefua sivumilii nasepa zangu
Nampenda Mungu kwanza halafu kama nahitaji kukupenda na wewe naanza kuhesabu bitafaidika na nini kwanza
 
hahahahah loohhhh
babu haya bana..
Niambie za ma Penzi nkalale...
Mapenzi hayavumilii yote,
Mapenzi huhesabu mabaya,
Mapenzi hujificha,

Mapenzi SI AMRI ya Mungu.

Mapenzi yaweza sababisha DHAMBI, Upendo hausababishi dhambi
Mapenzi huhusisha tabia mbaya, Upendo hauna tabia mbaya.
Mapenzi yana utamu na uchungu, Upendo hauna machungu bali utamu tu.

Mapenzi yana MIPAKA, Upendo hauna mipaka...
Mapenzi yana WIVU, Upendo hauna WIVU.

Mapenzi ni NOOOOMA!
 

baadaye..
ngoja nikatafakari hili neno la Babu ..
 

Hivi babu mapenzi na upendo ni vitu viwili tofauti
 
Wow! maelezo mazuri sana NN sikujua kama unajua kiswahili hivi....ok baada ya haya how can you tell someone loves you?
 
Hahaaaaaaaaa babu! mwalimu wako alikuwa na kazi ngumu sana.

 
Hivi babu mapenzi na upendo ni vitu viwili tofauti

upendo ni ule wa agape na mapenzi ni yale mengine...

upendo hata kwa adui unaamriwa uwe nao lakini mapenzi huwezi kuwa nayo kwa adui
 
upendo ni ule wa agape na mapenzi ni yale mengine...

upendo hata kwa adui unaamriwa uwe nao lakini mapenzi huwezi kuwa nayo kwa adui

Ohhh ok ok nimekupata
mhhh Bht kwani yule dada ninauemkuta pale mrina bar na nikawa na mapenzi naye kwani yule nina upendo nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…