Love doesn't exist!

Love doesn't exist!

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Posts
984
Reaction score
133
What people call love is actually a state of mental condition that causes a person to create and operate in an unfounded sense of security.

Love is a perfect state of attitude/feelings towards someone. So to expect love is to expect unexpected. No one has ever seen and/or experienced the perfect of anything.....not even parent-child relationship has ever reached the perfect state.

So quit lying yourself....love doesn't exists!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
true according to ur definition of love....ila kumbuka mwengine anaweza kuja na.definition yake na hivyo kutetea boja ya kwamba love exists
 
mtoa mada,Hivi kati ya jana na leo umesoma umesoma uzi wa The Finest...'crazy things people do for love'? Kama bado kautafute kwenye archive uusome na kisha ndo uamue kama uzi huu uendelee ama uudelete voluntarily.
 
Argument yako inaelekea kunipa majibu ya maswali mengi sana juu ya hicho watu wanachoita love.
 
mtoa mada,Hivi kati ya jana na leo umesoma umesoma uzi wa The Finest...'crazy things people do for love'? Kama bado kautafute kwenye archive uusome na kisha ndo uamue kama uzi huu uendelee ama uudelete voluntarily.

B' have you ever done something crazy? Umepita kwa Finest tayari? Ngoja nikacheki....
 
B' have you ever done something crazy? Umepita kwa Finest tayari? Ngoja nikacheki....
hahahahaaa ukishapita niPM if you don't mind maaana nilichosema huko ni ukweli,ukweli mtupu.
 
hahahahaaa ukishapita niPM if you don't mind maaana nilichosema huko ni ukweli,ukweli mtupu.

Nimeona B'... we Mkaree... hivi mpaka u Love?? Kwa mfano mimi ambae twaivana huwezi nisaidia na mimi yale mambo? lol
 
Okay lets start @the beginning;
GOD IS LOVE (here is actually the beginning of love), are you literally saying that God is not perfect? Even yet He doesn't exist?
 
Quem, I am afraid to say that you have little knowledge about love, at least in thearetical terms. Or maybe you are talking about something else. The term perfect has no place. You can compare the definition of love from wikipedia. Just click here. You can not find the word perfect in love definition. This is because love is never perfect because it is largely driven by emotional feelings rather than reasoning by our brain. This is why for love to persevere lovers have to make great concessions by making sacrifices to maintain relationship. Sometimes one partner may sacrifice much more than the other, so a weighing scale can not be used to strike a balance because a balance is not required. Any attempt to get a balance can demolish love rather than build it,because no perfectness.
 
mtoa mada,Hivi kati ya jana na leo umesoma umesoma uzi wa The Finest...'crazy things people do for love'? Kama bado kautafute kwenye archive uusome na kisha ndo uamue kama uzi huu uendelee ama uudelete voluntarily.

People don't do crazy things for love...people do crazy things for friendliness, foolishness, or selfishness.

Unaponunua kontena la maua na kumpelekea mtu uliyenae - ni friendliness

Unapokunywa sumu kwa sababu ya mtu uliyekuwa naye amekukimbia - ni stupidness

Unapompora rafiki mtu wake - ni selfishness

So no love there.
 
Okay lets start @the beginning;
GOD IS LOVE (here is actually the beginning of love), are you literally saying that God is not perfect? Even yet He doesn't exist?

God existence is a myth!

For believers (including myself), God has the perfect state of attitude towards us all...and that's the only love there is to. No human can match that perfect state...nada! zero! none! hakuna!
 
Quem, I am afraid to say that you have little knowledge about love, at least in thearetical terms. Or maybe you are talking about something else. The term perfect has no place. You can compare the definition of love from wikipedia. Just click here. You can not find the word perfect in love definition. This is because love is never perfect because it is largely driven by emotional feelings rather than reasoning by our brain. This is why for love to persevere lovers have to make great concessions by making sacrifices to maintain relationship. Sometimes one partner may sacrifice much more than the other, so a weighing scale can not be used to strike a balance because a balance is not required. Any attempt to get a balance can demolish love rather than build it,because no perfectness.

Wikipedia imesema hivi "Love is an emotion of strong affection and personal attachment"

This is not love. It is a state of mental condition that causes a person to create and operate in an unfounded sense of security. Emotions an affection are falling into mental condition boundaries. The term personal attachment is referring to nothing but sense of securit
y (being in a comfort zone)

[SUP][/SUP] Wikipedia pia imesema hivi "Love is also a virtue representing all of human kindness, compassion, and affection; and "the unselfish loyal and benevolent concern for the good of another"

Mental condition boundaries include - kindness, compassion, an affection

Friendliness include - the unselfish loyal and benevolent concern for the good of another

Na wewe ukasema hivi "Sometimes one partner may sacrifice much more than the other, so a weighing scale can not be used to strike a balance because a balance is not required. Any attempt to get a balance can demolish love rather than build it,because no perfectness"

Ku-sacrifice ni kukubali ku-tolerate B/S za mwenzi wako. Mnapokutana na mtu na kukubaliana kuwa pamoja ni kwamba, mnakubaliana kuwa (1) kila mmoja wenu anakuja na mazuri na mapungufu yake, (2)kila mmoja wenu atajitahidi kadri ya uwezo wake kuyafanyia kazi mapungufu yake, (3)Kila mmoja wenu atavumulia mapungufu ya mwenzake ambao ni magumu kuyarekebisha, na (4) kila mmoja wenu ana wajibu kuheshimu mkataba mnaoingia. No love there...it's just a contract (formal or informal) ambayo watu wawili wana-sign kwa nia ya kuwa pamoja.
 
What people call love is actually a state of mental condition that causes a person to create and operate in an unfounded sense of security.

Love is a perfect state of attitude/feelings towards someone. So to expect love is to expect unexpected. No one has ever seen and/or experienced the perfect of anything.....not even parent-child relationship has ever reached the perfect state.

So quit lying yourself....love doesn't exists!

...duhhh, aisee ulipotelea wapi?
hili tofali uliloibuka nalo si bure bana...

ukisema Love don't exist ni sawa na atheist wanaosema hakuna Mungu!
have faith!...you've to be in love to believe it....and you will Never Walk Alone, 'sic'...hahah!
 
Anything mentioned exists.... even if it is just in the form of words..... lol

....same applies to tangibles na untangibles....
hebu mtu akanushe hakuna kitu kinaitwa njaa tumboni mwake
akione kinachomtoa kanga manyoya....lol!
 
...duhhh, aisee ulipotelea wapi?
hili tofali uliloibuka nalo si bure bana...

ukisema Love don't exist ni sawa na atheist wanaosema hakuna Mungu!
have faith!...you've to be in love to believe it....and you will Never Walk Alone, 'sic'...hahah!

Nipo mdogo mdogo kaka...life inanitusi kama vile Messi anavyowatusi makipa kila dakika 90...lakini nipo bro!

Unajua watu wanakosea wanapodhani kuwa na "uhusuano wa karibu na mtu mmoja" ndio ku-excercise "love." Mr. Bongo anapohamua kuwa karibu na Miss Bongo ni kwa sababu ya attributes anazo-possess huyu miss (ambazo Mr. Bongo anazipendelea). Once hizo attributes zikipotea au kupungua, basi Mr. Bongo anapoteza hari ya ukaribu. Anaweza kuendelea kuwa naye kwa mazoea tu (comfort zone), lakini ile hari imepungua au haipo tena. This is not love.

Hari, kasi na nguvu ya Love ilikuwepo juzi ndio hiyo hiyo iliyopaswa kuwepo jana, na inayopaswa kuwepo leo, kesho, keshokutwa, mtondogoo.... No one can grant that!

Love doesn't exist bro!
 
Back
Top Bottom