Inatosha mzazi au vipiSio ndio nimekupa option 2 uchague, ila umekataa nimekuambia waambie wewe ni shoga, au ukaombewe.
Sasa unataka ushauri upi tena.
Au kama vipi kula ngada.....
Teh teh teh....
Sio ndio nimekupa option 2 uchague, ila umekataa nimekuambia waambie wewe ni shoga, au ukaombewe.
Sasa unataka ushauri upi tena.
Au kama vipi kula ngada.....
Teh teh teh....
Maana yake anapenda penzi la jinsia moja...Hivi "Love I Crime" maana yake nin?
Hiki kiingereza hiki... dah!!when a women Love , She love love for real
dah asante mkuu, kama ni hvyo urud tu maabara uwatafutie na hawa dawa yaoMaana yake anapenda penzi la jinsia moja...
Kwa kweli huu mwaka kazi ninayo... sijamaliza ya wanawake sasa natakiwa nianze ya mashoga...dah asante mkuu, kama ni hvyo urud tu maabara uwatafutie na hawa dawa yao
ha ha ha ha lazima ilipuke aisee usje ukamix formula ya wanawake na mashoga litatoka bomu zaid ya nuclear aiseeKwa kweli huu mwaka kazi ninayo... sijamaliza ya wanawake sasa natakiwa nianze ya mashoga...
Maabara italipuka wallah!!
Afu code ya kulipulia anayo Trump mwenyewe...ha ha ha ha lazima ilipuke aisee usje ukamix formula ya wanawake na mashoga litatoka bomu zaid ya nuclear aisee
Haitoshi nakuambia.....Inatosha mzazi au vipi
Basi sawa ngoja niendelee nyau wewe.......Endelea
mkuu, hebu tumsaidie kwanza mwenzetu , hii lugha ya malkia tuweke pembeni,, nchi yetu ina tatizo la waaalimu wa grammar sio huku. [emoji13] [emoji13] [emoji17]Hiki kiingereza hiki... dah!!
Hahahahaa basi sawa... hebu niambie nianzie wapi ulipoishia wewe???mkuu, hebu tumsaidie kwanza mwenzetu , hii lugha ya malkia tuweke pembeni,, nchi yetu ina tatizo la waaalimu wa grammar sio huku. [emoji13] [emoji13] [emoji17]
Matokeo ya BRN!Ok sawa hyo nafikiri imekuwa typing error topic "Love Is Crime" yaan nachomanisha kupenda au kupendwa ni kes au ni makosa au ni dhambi???????
mkuu Asprin unaonekana sio mtu wa mchezo mchezo kabisa , nahsi hapo pekundu [emoji115] sijakosea au [emoji15] [emoji15] ?Hahahahaa basi sawa... hebu niambie nianzie wapi ulipoishia wewe???
Manake watu wengine kuwashauri lazima uishirikishe roho ya Bwana...
Anyway... Seal it with a kiss