Love I Crime?

Love I Crime?

Sio ndio nimekupa option 2 uchague, ila umekataa nimekuambia waambie wewe ni shoga, au ukaombewe.
Sasa unataka ushauri upi tena.

Au kama vipi kula ngada.....
Teh teh teh....
Inatosha mzazi au vipi
Sio ndio nimekupa option 2 uchague, ila umekataa nimekuambia waambie wewe ni shoga, au ukaombewe.
Sasa unataka ushauri upi tena.

Au kama vipi kula ngada.....
Teh teh teh....
 
mkuu itakuwa wanakupenda kwakuwa uwezi kuandika vizuri......maana hiyo LOVE I CRIME sijui utakuwa umeitoa kwenye kamusi gani.
 
dah asante mkuu, kama ni hvyo urud tu maabara uwatafutie na hawa dawa yao
Kwa kweli huu mwaka kazi ninayo... sijamaliza ya wanawake sasa natakiwa nianze ya mashoga...

Maabara italipuka wallah!!
 
Kwa kweli huu mwaka kazi ninayo... sijamaliza ya wanawake sasa natakiwa nianze ya mashoga...

Maabara italipuka wallah!!
ha ha ha ha lazima ilipuke aisee usje ukamix formula ya wanawake na mashoga litatoka bomu zaid ya nuclear aisee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Dah!
Mwana aliekuroga kweli fundi.
 
ha ha ha ha lazima ilipuke aisee usje ukamix formula ya wanawake na mashoga litatoka bomu zaid ya nuclear aisee
Afu code ya kulipulia anayo Trump mwenyewe...
 
Hiki kiingereza hiki... dah!!
mkuu, hebu tumsaidie kwanza mwenzetu , hii lugha ya malkia tuweke pembeni,, nchi yetu ina tatizo la waaalimu wa grammar sio huku. [emoji13] [emoji13] [emoji17]
 
mkuu, hebu tumsaidie kwanza mwenzetu , hii lugha ya malkia tuweke pembeni,, nchi yetu ina tatizo la waaalimu wa grammar sio huku. [emoji13] [emoji13] [emoji17]
Hahahahaa basi sawa... hebu niambie nianzie wapi ulipoishia wewe???

Manake watu wengine kuwashauri lazima uishirikishe roho ya Bwana...

Anyway... Seal it with a kiss
 
Hahahahaa basi sawa... hebu niambie nianzie wapi ulipoishia wewe???

Manake watu wengine kuwashauri lazima uishirikishe roho ya Bwana...

Anyway... Seal it with a kiss
mkuu Asprin unaonekana sio mtu wa mchezo mchezo kabisa , nahsi hapo pekundu [emoji115] sijakosea au [emoji15] [emoji15] ?

anyway jamaa yetu huyu kaandika. "Love I crime" ndo mana hasaidiwi watu wanakosoa lugha kwanza
 
Back
Top Bottom