Love is blind ☹️

wazazi wetu walipendana kwa dhati na kuangalia vitu viwili vikubwa love and respect,dunia ya sasa pesa kwanza,mwonekano,hadhi mtu anaingia kwenye mahusiano na juma kwa kuwa anavyo vitu tajwa hapo juu huku hisia na mapenzi ya dhati yakiwa kwa fundi maiko [emoji23].

OUTPUT
~Breaking to a personal laws result to a public chaos(mauaji,usaliti,utengano etc)-Dr myles munroe
 
Hivi kwa hali hii kuna mwanaume anatulia/ anamiliki mwanamke mmoja?
Jibu ni Hakuna

Nini haswa hupelekea wanaume kumiliki wanawake wengi?

Kwa sababu wanaume ni watu wanaopenda tendo la ndoa mara kwa mara, na kwa sababu wake zao hawako tayari kutimiza kiu hii mara kwa mara kulingana na uhitaji, wanaume wengi huchangamkia fursa pale wanapokutana na uwezekano wa kupata tendo la ndoa kirahisi na kwa wepesi.
 
Kumbe shida ni Tendo la ndoa?
 
Wapo,lakini yafaa kila mtu anayetaka mpenzi wa kudumu naye uaminifu uanze na yeye kwanza.
 
Ushahid unao wakusema hakuna?
 
Ninachowaasa Vijana hususani Vijana wa kiume.


TUHESHIMI SANA PESA ,TUHESHIMI SANA PESA, TUHESHIMU SANA PESA.


usithubutu kutumia Pesa yako Kumshawishi mwanamke akupe approval,, Dunia ya Sasa NI LAZIMA MWANAMKE ahangaike yeye ili wewe Mwanaume umpe Approval , ndio na Inawezekana 100% .
 
Sasa mtu usiwe na pisi kadhaa kwasababu ya kutaka mapenzi ya dhati???, annh huo ni ushamba bana[emoji4]

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Ushahid unao wakusema hakuna?
Mara nyingi uhusiano huchukuliwa kuwa kati ya watu wawili tu. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba utamaduni huu sasa unaanza kutiliwa mashaka
Ukiangalia aina mbalimbali za uhusiano uliopo, asilimia 5 inaweza kubainishwa kama wa zaidi ya mpenzi mmoja
Katika maisha ya mwanadamu, asilimia 21 ya watu wamewahi kujihusisha na mapenzi nje ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…