Love is blind ☹️

Wanawake walaumiwe, kwa kuprovide mbususu freely...

Wanaume inajulikana wanaongozwa na testosterone...

Wao sex ni kipaumbele..

Opportunity ikijileta ya kupata mbususu wanaume wengi hawajivungi...

Ni sisi kuwapa access na hizo mbususu..

Tatizo ukimnyima ana uhakika wa kupata kwingine..

Wanawake ndio wa kulaumiwa..

Mtu asiniquote,nishalewa 😳 😳 🙄 😁 😎
 
Mapenzi ya kwel yapo! Sema tunaset standard ambazo hata sisi wenyewe hatuna!

Unakuta mkaka anataka demu mkali sijui shape la kibantu na vigezo kibao lkn kuhudumia hawezi akiombwa buku anatetemeka usiku kucha

The same kwa dada zetu wanataka wanaume ambao wana mafanikio ambayo hata wazazi wao hawana
 
kipindi kile nilikuwa emotional weak...na ndo maana nilikuwa nafikiria sana kuhusu kuwa na mahusiaano.....trust me watu ambao wako emotional strong they don't care about relationship...

nasema mahusiano ni kwaajili ya watu dhaifu ni kwasababu wanadhani watapata furaha kwenye mahusiano kwa kuwa wanahisi wao wenyewe hawajitoshelezi huu ndo udhaifu wenyewe.....watu wote huingia kwenye mahusiano kupata kujikamilisha yaani wanajiona wao sio kamili.
unasema hivi baada ya kisa cha yule manzi, don't be a quitter
 
Wanaume wanaotulia wapo. Japo kwa kiwango kidogo.

Kuna sababu nyingi tuu, zisababishazo wanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja.
Tamaa, Tabia za Mke, Upendo kupungua, ni baadhi tuu ya Sababu tu.

Wakati mwingine tunachagua mwanamke kwa kuangali sifa ambazo hazina faida kwenye mahusiano ya muda mrefu.
Na tuna-ignore sifa muhimu.

Babu na Bibi zetu walikoseana pia, sema enzi zao ndoa ilikuwa ni Taasisi kwelikweli.
Ilikuwa si rahisi kuachana.
Hii ilisaidia migogoro baadhi kutatuliwa na ndoa kuendelea.

Mfumo Dume ulisaidia pia.( Fahari wawili hawakai zizi moja). Mwanaume alikuwa kichwa, Provider na mwenye maamuzi ya mwisho.

Wazee walikuwa na michepuko pia, sema kufanya hivyo ilikuwa ni kitu cha aibu. Tofauti na sasa kiwa na mchepuko ni sifa.


Hakuna ndoa isiyo na migogoro.
 
Painful truth 💪
 
utaoa hutooa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…