mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
unasema hivi baada ya kisa cha yule manzi, don't be a quitterMahusiano ni kwaajili ya watu dhaifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unasema hivi baada ya kisa cha yule manzi, don't be a quitterMahusiano ni kwaajili ya watu dhaifu.
Tusalimiane, isiwe Kama tume Kesha wote bar🤒Kupenda ni ulemavu
Nimependa point yako ya mwisho.I can't much about love, kwani sioni ni kiangukia huko siku za karibuni
👉Halafu ujasiri wa kuwa na mahusiano mengi haufai, kwani una kupoteza wewe muhusika.
👉Utapoteza pesa, muda na hata kubeba nuksi na mikosi🙏
Daaah mkuuu ni kweli kabisaTusalimiane, isiwe Kama tume Kesha wote bar🤒
IAM single🤒Nimependa point yako ya mwisho.
uzi mzima wewe ndo unaongea point mkuu,Matamaa tu .
Kwema kabisa, mishe Zina endaje ??Daaah mkuuu ni kweli kabisa
Nimeghafilika mkuu. Habari yako ndugu yangu
Mungu ni mwema mkuu..Kwema kabisa, mishe Zina endaje ??
Huku nanjilinjii 🤓🤓, sisi wazimaa🤒Mungu ni mwema mkuu..
Tunapambana hivo hivo
Sijui wewe huko ulipo..?
unasema hivi baada ya kisa cha yule manzi, don't be a quitter
Painful truth 💪Mapenzi ya kwel yapo! Sema tunaset standard ambazo hata sisi wenyewe hatuna!
Unakuta mkaka anataka demu mkali sijui shape la kibantu na vigezo kibao lkn kuhudumia hawezi akiombwa buku anatetemeka usiku kucha
The same kwa dada zetu wanataka wanaume ambao wana mafanikio ambayo hata wazazi wao hawana
utaoa hutooakipindi kile nilikuwa emotional weak...na ndo maana nilikuwa nafikiria sana kuhusu kuwa na mahusiaano.....trust me watu ambao wako emotional strong they don't care about relationship...
nasema mahusiano ni kwaajili ya watu dhaifu ni kwasababu wanadhani watapata furaha kwenye mahusiano kwa kuwa wanahisi wao wenyewe hawajitoshelezi huu ndo udhaifu wenyewe.....watu wote huingia kwenye mahusiano kupata kujikamilisha yaani wanajiona wao sio kamili.