Love; knocked me out

Dah we are sailing on the same boat,mm imeniumiza sn. Jn nimeenda kwa bro ananambia mbna umekonda hvyo,naishia tu kusema kazi na shule zimenibana. Ni kweli ata mm imenipa experience zaidi na cntokaa kumpa mwanamke mwingne moyo wangu. Better be alone.
 
Dah we are sailing on the same boat,mm imeniumiza sn. Jn nimeenda kwa bro ananambia mbna umekonda hvyo,naishia tu kusema kazi na shule zimenibana. Ni kweli ata mm imenipa experience zaidi na cntokaa kumpa mwanamke mwingne moyo wangu. Better be alone.

Pole kaka hayo ndio maisha. Ingekuwa hakuna kuachana wote tungeo au kuolewa na first lovers wetu.

Ila inaelekea wanaume hamna moyo wa uvumilivu kama sie. I can imagine how your little heart is broken. Nikwambie kitu; there is a very beautifu lady for you somewhere in this world. SIku utakapo kutana nae hutajilaumu sana why didi you west your valuable time with this lady.
 
mkuu mwanaume aliliagi mwanamke mpotezee mwache aliweliwe kidogo thn atarudi mwenyewe...gud..luk;
 
ulipoanza statement ya kwamba ni MZURi sana nilipata picha haraka haraka kuwa kifuatacho ni kuachwa, labda tutafute watalaam watusaidia ni kwa nini binti akijijua ni mzuri haishi kuumiza mioyo ya wampendao? pole bro bt utotoni ulipenda sana kuanza chekechea japo kwa sasa mtu akikupeleka chekechea hutamuelewa, vivyo hvyo ipo ck upendo kwa huyo binti utafutika moyoni mwako na utakuwa normal! hilo ni pito tu. gud lyfe.
 

Umenikumbusha mbaali sana, kuna kipindi yaliwahi kunikuta haya, na wimbo huu ukanisuta sana...

Mr Paul-Tabia Mbaya
 

Aminia Afro, saiv nipo fit kama maneno ya Boys II men.. "am doin just fine"
Najijua nina mapungufu mengi sana, ila mnapokuwa mmelewa kwenye mapenzi mtu anakwambia anakuona upo perfect na wewe kichwa kinakukuwa kikubwa na unaongeza mbwembwe huko nje.
Pia naamini kuwa mapenzi ya ukweli hayafi.... ndio maana nilipigwa shock kuambiwa kuwa "YAMEKUFA"
Ahsante sana, i really appreciate it!
 

Kilasiku napata sababu zaidi ya kuendelea kuwa Mwana-JF "nyumba kubwa" nakubali ukubwa wako.... namsubiria huyo beautiful girl kwa mikono miwili hahahahahaha lol
 
mkuu mwanaume aliliagi mwanamke mpotezee mwache aliweliwe kidogo thn atarudi mwenyewe...gud..luk;

Comred, sililii mapenzi ndugu yangu just tunashare experience tu, sikutaka kuandika hichi kitu as if nasimulia eti kisa cha rafiki yangu. Hii ni mambo ipo kwenye maisha yetu ya kilasiku so sidhani kama kuna cha kuficha sana.
Na move on kama watu wengi mnavyonishauri... naliheshimu sana hilo!!
 
Mapenzi yanakufa ndio tena kwa ujeuri unaouonesha ndio unayazika.
Ni kawaida kabisa hisia kupotea na cdhani kama kuna mtu ambaye ameshawahi kuwa katika mahusiano bila kuexperience hiki kitu.
Inapotokea mtu amepoteza hisia halafu upande wa pili nao upo upo tu yaani hakuna ukaribu na mawasiliano ni haba penzi kuvunjika ni rahisi.
Inapotokea mmepoteza hisia kwa pamoja unaweza kushangaa mmeachana wakati hamkuwa na ugomvi wala nini.
 

my dear
i have two words for you ..
MOVE ON..
ta.
 

unafanya vema mkuu n i support ua decision...na kama unaitaji binti msaada upo..!
 
jouneGwalu hapo kuna mawili hakukupenda au anakupima utareact vipi akiona bado unamapenzi nae atarudi, tangaza nia ndugu yangu usikute binti anasubiri ule msemo wa "will u marry me" kalagabaho!
 
Don' gv up utajampa akupendae na hata kuchoka koz anakupenda!pole na kip on struggling lol>.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…