Love me till the end...

Love me till the end...

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Love me Till The End.

Pamoja na kuahidiana Mambo mengi na kupendana mpaka kiama changamoto za maisha ziliwatenga. Alisikika baharia mmoja akimweleza mwenzake maswahibu ya mahusiano yake YALIYO pita.

Love Me Till The End. Huu msemo hugeuka mwiba. Huu Ni mtihani mgumu kwa kila kijana mfano

ANAWEZA kutana na mtu sahihi WAKATI usio sahihi.

Pesa, umaskini na wazazi ni baadhi tu ya changamoto kadha wa kadha.
Zinazotajwa kukwamisha ndoto za wapendanao

Je, ni maswahibu gani umewai kuyapitia kwenye mahusiano ambayo hutayasahau maishani?
 
Mwaka 2007 nikiwa kidato cha pili nilipewa karamu nzuri sana na binti fulani mrembo kutoka kanda ya ziwa hakika niliipenda sana ile karamu, mwisho wa siku ilinisaliti kwa kuisha wino na thamani yake iliporomoka kwangu.
 
Hakika hii kitu ime umiza ulimwengu maumivu yake....makovu yake yasi poneke daima .....

Wengine katika mausiano yao wamepoteza kila kitu walicho pigania maishani mwao.....

mwisho wa siku ni DUCES
By Chris Brown
 
Haahaa
Hili SoMo sio la kusimuliwa mpaka yakukute
Ndio maana Kuna watu wamekua makatili kwa sababu ya kuchezewa hisia....

Mkuu na kweli. Ni mbaya sana maumivu ya mapenzi hayaelezeki hasa kupoteza mtu unayempenda. Na mara nyingi inatokea bila kutegemea yaan kirahisi rahisi tu inabaki story. Asee right now Najipenda mimi, ndugu na watu wengine mpenzi awepo asiwepo it’s okay. https://jamii.app/JFUserGuide you love.
 
Haahaa
Watu Kama nyinyi hamkosekanagi.....
"Kifimbo cheza"
Umeanza Mambo yenu haaahaa nyie wasomi mna Mambo....hujaelewa nini kwa mfano...
Hapo nmeuliza bwana maana karamu?! akili yangu ikaenda kwenye sherehe ghafla wino ukaisha[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom