Love messages

love messages namtumia sana...sijui nifanye nini! na hayo mengine anapata
 
African darkness mind kill many & many will still die, unaona tatizo una palilia, u don't react, ushahidi unao, eti upo kimya? Wait gonjwa likikushika na kifo unakiona utapata akilli, this reminds me a lot in my 10 yrs back of sec school life, kuna watu ili waelewe njia ni moja tu FIMBOOOOOO SANA, ATAFAULU NA KUWA MWANAFUNZI BORA, sasa in real life, FIMBO YA MWALIMU DUNIA NI KUWA NA MAISHA HATARI MWISHOE MAUTI KABLA YA MUDA YATAKUFIKA, maana una macho huoni, una masikio husikii, una ubongo bongolala, una pua hainusi, una ngozi iliyo na ganzi, una ulimi usio jua laza, una mdomo uko bubu, una uchi unatumika vibaya, una mikono hufanyii kazi, una everything for a reason not by mistake hata kidogo na mbaya zaidi baadhi ya vitu mungu alivyokujali unatumia vibaya kheri usingetumia au ungetumia vizuri kuwa na maisha bora, utajiju wait gonjwaaa sina advice kwako
 
tatizo mi sio mtu wa ugomvi sana,halafu niwaambieje nikishawapigia?naogopa wakimwambia mume wangu nimepiga simu.kuna mmoja nilimpigia alipopokea nikaishia tu kumwambia wrong number nikakata simu.

Mhhhh....wewe mdada, uko tofauti sana. Huyo ni mume wako kweli au ni mnaishi tu bado kufunga ndoa, so unaogopa mambo yanaweza yasiende kwa jinsi unavyotegemea!! kwa kweli umenishangaza mie.....................mhhhhh!!!!
 
angekua wa kwako ungefanyaje?ungepigana???halafu? ndio niko hivyo,si mtu wa ugomvi na wala sijui kugombana...mambo ya kutukanana na watu kwenye simu mwishowe wakuvunjie heshima huwa sitaki kabisa.
 
hiyo nayo ni advice,i have the right to take it or leave it!thanks.
 
tatizo mi sio mtu wa ugomvi sana,halafu niwaambieje nikishawapigia?naogopa wakimwambia mume wangu nimepiga simu.kuna mmoja nilimpigia alipopokea nikaishia tu kumwambia wrong number nikakata simu.

unamwogopa mumeo ye ni mungu wacha ujinga otherwise kama ni bek tatu hutaki kujishugulisha na chochote unaogopa ukwasi wa maisha ndo shida hiyo unavumilia ujinga na kuumia rohoo wakati maisha matamu kabisa ukiwa na msimao wako
 
mume wangu huwa anawasiliana meseji za mapenzi na wasichana...halafu la kushangaza ni wa aina tofauti tofauti,nikimwuliza anasema sio wapenzi wake.tena ananiambia niachane na simu yake...nifanyeje jamani?

love messages namtumia sana...sijui nifanye nini! na hayo mengine anapata

Well...well....
Multi IDs zinataka umakini...
BTW: Kwa nini unachimbachimba simu ya mumeo?
 
Huyo ni mzinzi kabisa siyo mwaminifu kabisa cha msingi waone viongozi wa dini au wazazi wa pande zote muongee myamalize.
 
mume wangu huwa anawasiliana meseji za mapenzi na wasichana...halafu la kushangaza ni wa aina tofauti tofauti,nikimwuliza anasema sio wapenzi wake.tena ananiambia niachane na simu yake...nifanyeje jamani?

love messages namtumia sana...sijui nifanye nini! na hayo mengine anapata
Dah!!! Umeniacha hoi kwa jinsi unavyotumia multiples ID's kwenye kujibu watu yaani PRINCIPESSA na NYABWIRE wanamjibu HAPPINESS WIN
 
Dah? pole bi dada lkn hiyo ni haki yako kutaka kujua hizo msg zinatoka wapi?

mbona huyo mwanaue ana2mia ubeberu, hebu jaribu kumtumia mtu wa karibu yake aweze kumuuliza kuhusu malalamiko yako

halafu kingine unaweza sema wanawake tofauti kumbe ni mmoja bt no.nyingi na majina tofauti hebu ziftilie

kama ni just a friend mwambie siku apige na aweke loudlyspeake

punguza upole bibie kuwa ngangali

MNATUTISHA TULIO MABACHELA JAMANI KILA SIKU VILIO KWENYE NDOA...WHY?
 
mume wangu huwa anawasiliana meseji za mapenzi na wasichana...halafu la kushangaza ni wa aina tofauti tofauti,nikimwuliza anasema sio wapenzi wake.tena ananiambia niachane na simu yake...nifanyeje jamani?
Amini aiamini, ushauri mzuri ni huo alokupa yeye mwenye... achana na simu yake, utapata ugonjwa wa moyo bure
 
basi kumbe endelea kuzisoma tu na utulie,kwa sababu chochote kingine utachofanya utaleta ugomvi.
Jamani mwenzenu anampenda sana mume wake mbona mwataka kumgombanisha na shostiye....!? Acheni umbea kaaa...!
 
yote umemaliza,nilimzika ndugu yangu imenipa funzo kubwa
 
Dah!!! Umeniacha hoi kwa jinsi unavyotumia multiples ID's kwenye kujibu watu yaani PRINCIPESSA na NYABWIRE wanamjibu HAPPINESS WIN
sikulijua hilo,akili yako inafanya kazi.na isije ikawa story ya kutunga?maana jf nayo,mmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…