Love messages

samahani umekosea njia?
 
love messages namtumia sana...sijui nifanye nini! na hayo mengine anapata

Unamtumia za aina gani?ushauri anza kimtumia za jinsi gani na styles gani utampa siku hiyo au usiku huo
Pia angalia ni aina gani ya love sms anazochat na hao wadada
But you need to step up ur game na uache kuonewa maana inaonyesha mume ana ku control hadi basi,yaani anaona kuchat naa wadada ni sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…