Love messages

Love messages

Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one
samahani umekosea njia?
 
love messages namtumia sana...sijui nifanye nini! na hayo mengine anapata

Unamtumia za aina gani?ushauri anza kimtumia za jinsi gani na styles gani utampa siku hiyo au usiku huo
Pia angalia ni aina gani ya love sms anazochat na hao wadada
But you need to step up ur game na uache kuonewa maana inaonyesha mume ana ku control hadi basi,yaani anaona kuchat naa wadada ni sawa tu
 
Back
Top Bottom