Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #41
Anajua au uongo ?Au Chris buryauni ndo lolomodo wako for nowππ na Mimi kunakipindi alinigwata huyu jamaa noma sanaa
Anajua sana manAnajua au uongo ?
Aisee dj hapo hapo watuuu yelewuuuwiiiiiRehab - Rihanna ft Justin Timberlake
View attachment 2893106
Noma saanaaa umetisha mkuuToni braxton - he was not men enough
View attachment 2893107
Nimekumbuka sakata la manara na dulla makabila.Noma saanaaa umetisha mkuu
Hii Burnaboy amefanya samplingToni braxton - he was not men enough
View attachment 2893107
Kama ni meielewa hivi hii play listπUgonjwa wangu huu. Mpaka nikimpata mpenzi ambaye hapendelei nyimbo za aina hii huwa naboreka, ni kama hatuongei lugha moja!
List yangu
1. Still the one ~ Wimbo wangu bora wa muda wote wa mapenzi. Ni kama Shania alituimbia mimi na kaka mzuri wangu, ni juzi tu nimetoka kuongea nae hili.
2. Mirrors ~ Justine Timberlake
3. Breathless ~ Shayne Wad
4. Unbeleivable ~ Craig David
5. Missing you ~ Casie
6. Said I love you but I lied ~ Michael Bolton
7. My baby you ~ Marc Anthony
8. You sang to me ~ Marc Anthony
9. I need you ~ Marc Anthony
10. Stuck on you ~ Lionel Richie
Sikiliza hii ya BurnaboyToni braxton - he was not men enough
View attachment 2893107
Sikiliza na hii manSikiliza hii ya Burnaboy
View attachment 2893122
Now, Iβm officially subscribed kwenye hii thread!Rehab - Rihanna ft Justin Timberlake
View attachment 2893106
Huu wimbo hadi nilishausahau ππToni braxton - he was not men enough
View attachment 2893107
Ni msanii wangu bora wa kike sauti yake ndio sababu kubwa ya kuanza kumkubaliNow, Iβm officially subscribed kwenye hii thread!
Mambo yangu haya, umeniweza leo ππΎ
Kuna siku huwa nacharuka namsikiliza Riri kutwa nzima!
Woman by Ton BraxtonHuu wimbo hadi nilishausahau [emoji38][emoji38]