Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #81
Love the way you lie - Eminem ft Rihanna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliendana kuanzia umri, kipaji, swagga na hata muonekano.Whatever, mi nawapenda na Riri alishasema huyo ndio mwanaume wa maisha yake, alimpenda sana.
Yaaasss bado ana mpenda sana na ndio maana ilikuwa rahisi kwake kumsamehe.Whatever, mi nawapenda na Riri alishasema huyo ndio mwanaume wa maisha yake, alimpenda sana.
Ungelitembea na bluetooth, muda wote unapiga ngoma hiyo hata ukiwa mgahawa wa shilole.Mimi ndio ningekuwa Rushyna ningemuimbia huo Zaylissa 🤣🤣
Tatizo waswahili wale wanachambana kwa taarab za Mwanahawa Ally.
Yani hapa natype kwa uchungu, simu karibia inazima.Ungelitembea na bluetooth, muda wote unapiga ngoma hiyo hata ukiwa mgahawa wa shilole.
Teh teh teh.
=======
Samia turudishie umeme
Mbona singeli zipo nzuri za mapenzi? Kama ile ya mtoto wa mtu nampenda naikubali sana.Wapenda singeli tukae Kwa kutulia 😎
Saa 1:48 umeme umerudiYani hapa natype kwa uchungu, simu karibia inazima.
Hii imekuwa too much!
Wimbo wangu wa uteenager, nilikuwa nauchezaaa.Love is wicked - Brick & lace
View attachment 2893159
Heri yenu huko visiwani, huku jiji zima liko kizani!Saa 1:48 umeme umerudi
Disco bila hicho kiwimbo ilikuwa haijakamilika kabisaWimbo wangu wa uteenager, nilikuwa nauchezaaa.
Naimba kila neno hata mapenzi yenyewe nilikuwa siyajui, dah!
Naupenda mnoooo!