LOVE STORY: That Guy

SEHEMU YA KUMI NA SABA:

I was officially with them both, yaani ilitokea tuuu nikawa namiss show za kibabe za Leon, na akawa ananipatia kweli, nikiipeleka anahakikisha nimelia hadi nimelia tena...Karim was busy with work , kusafiri na pia familia mbili, siku zilivyozidi kusonga nikajiona kama nazidi kukaa kwa Leon, namiss kampan yake , ule ukaribu ukaanza kumpa hofu Karim sana, akaanza kufanya uchunguzi wake.

Hatukua na habari kama Karim anatufatilia, tukawa tunajiachia kila tunapopata mda, kilichokua kinamsaidia Leon ni vile akija anachukua na watoto, kwaio kama ikawa inampunguza kasi Karim kufahamu ukweli maana outing zangu karibia zote nilikua natoka na watoto. Tukitaka kujiachia wawili tunaenda mbali, Arusha au Zanzibar, hela ilikuwepo, nasepa na ndege ya asubuhi naliwa na Leon narudi usiku nalala nyumbani kwangu.

Mapenzi hayajifichi aisee, kuna mda I was confused Kati ya Karim na Leon nampenda zaidi nani? kuna vibe fulani hivi linakuja nikiwa na Leon, na kuna namna napata amani nikiwa karibu na Karim...like am safe with him...I was confused, za mwizi arobaini kwangu hazikufika hata ishirini na tano walahi, mbona nakamatwa mapema hivi.

Nilipata ujauzito,nikasema ukisikia kuumbuka ndio huku, nilikua natumiaga calendar maana Karim alikataa njia nyingine na alikua makini na callenda yangu, tatizo ni kua Leon tunakutana accidentally, na kuna mda yanakua mazingira ambayo ni unprepared sex kwaio hata condom inakua haipatikani, kuhofia ujauzito nikawa natumia after pills, ila sio kila siku jumapili eeeh, Kuna siku Leon kaniotea , I was on danger days na sikua mazingira ya kupata after pills.

Nikajipa moyo nitatumia P2, nafika nyumbani Karim akanibana sana sikupata mda wa kutoka, ilikua ijumaa jioni, Karim akanambia hii weekend nataka kushinda na wewe , nikupikie , nikudekeze mama , ubize umezidi siku hizi wataniibia bure, ni kama alikua anatupa jiwe gizani maana siku nzima nilikua Zanzibar na Leon daaah...

Watoto sikuwakuta, walikua wameemda kwa bibi yao pamoja na dada, nyumbani tulikua wawili tuuu, nilikaa na Karim the whole weekend, kumbuka masaa yanaenda natakiwa nipate p2 , namwambiaje Karim kua nahitaji hizo dawa, Karim alijua kua nipo kwa danger days kwaio akatumia kinga, inamaana kama nitapata ujauzito itakua ni wa Leon, nikawa naiona talaka walahi, katoto kazungu kwa familia ya kibongo, kichekesho cha mwaka hiki, nilihaha si kidogo.

Ila nikajipa moyo kua mekaa na Leon SA karibia miaka mitano sikuwahi pata ujauzito, japo tulikua tunatumia calendar pia, nilikua binti sijazaa sikutaka kujiharibu shape yangu na mauzazi ya mpango, lakini zilikuwepo siku za kujisahau, tumelewa tumefanyana, sikuwahi pata mimba, nikajipa moyo hamna kitu kitatokea hata, ni hofu yangu tuuu...

Basi vinachelewa kujibu, baada ya kama wiki tatu nikaanza kuonesha mabadiliko, Karim ni daktari akaninote mapema tuu, siku hiyo akawa ananiuliza kuhusu kalenda yangu yaani kama ananidodosa hivi, nikashtuka huyu kawaje leo anaulizia mambo hayo wakati yeye ndio anaijua kuliko mi mwenye nayo, mi hadi nichek kwa simu , mimba zisizohitajika hua na maajabu yake jamani, hadi mda huo nilikua sina dalili yoyote ya tofauti mwilini mwangu, ila sijui yeye Karim alinote kitu gani, Karim akanambia Bella una ujauzito, nikacheka nikamwambia mimi bellla , no way.

Ile ilikua kama allarm yaani, nikamchek Leon the next day, halafu alivyo mpuuzi hata hana wasiwasi, ananambia nitalea Bella, hilo ndio la kuogopa au? Nipo hivi huyu mwanaume ananitafuta nini jamani, yaani katoto kazungu kwa ile familia nakapelekaje? Nikamwambia Leon hii kitu haiwezekani, Karim ataniua walahi...nitadhalilika, kila mtu atajua nimechepuka . Leon never cared at all, nikaona huyu nikimchekea ataniharibia, nikafanya process za kuutoa ule ujauzito kabla mambo hayajaharibika, sababu ilikua ndogo haikua shida sana, nikapata dawa pharmacy nikaflash, kimbembe kilikua kwa Karim, anajua kuhusu my period maana anajua callenda yangu yote, akashangaa anataka mzigo namwambia sitomudu natumika.

Karim akawaka, nikamwambia kwani period si inaweza sababishwa na mambo mengi tuuu, elewa kua natumika , pakazuka ugomvi pale ndani, akanambia nimebadilika sana...nikaomba radhi yakaisha. Mi ni mwepesi wa kuomba radhi napoona mekosea, ila kuna namna nikawa namiss yale maisha na Leon, nikawa napata ile hali ya kutamani kusmoke, kwa aina ya maisha naishi mi siwezi pata izo vitu, sina mazoea na watu wa mtaani, kwaio ili nikate kiu lazma nimchek Leon , ambacho sikujua ni kua Leon alikua ananiwekea drugs kwa zile weed.

Nilikua natembea kwa reli ya Leon, I was where he wanted me to be, nikaanza kupata ile addiction, Leon popote ulipo ulaaniwe walahi...Leon came back to destroy my life, nilikua najizuia nisimuone lakini addiction ya unga ni kitu ingine walahi. Nikajipeleka kwa Leon baada ya masiku kadhaa, nikamwambia Leon I need to smoke, akanambia hiyo sasa haitokusaidia, piga hii, akanipa unga wenyewe sasa, nikwamwambia Leon unga huu, akanambia unataka kupona au? I was shocked lini ameanza hayo mambo, was I the cause? nilikua nataka msaada kwaio sikuremba hata, nikapiga nikakaa kama nusu saa ndio nikawa sawa, Leon akanitumia tena ile siku, naweza sema kutumika maana I wasn't in a mood kwa sex ,nilikua mechoka sana.

Zilifata siku nyingi zenye maumivu sana, Leon alinigeuza teja rasmi, akawa ananipa unga na ananitumia atakavyo, nilikua najitahidi Karim asijue lakini teja ni teja tuuu....Karim akanote kitu , akanambia Bella unanificha mambo mengi lakini haupo sawa mama, ule urembo ukaanza kupotea si kama zamani, nilikua najitahidi kujiweka sawa, ila shida ya unga inakufanya ukose kujiamini, I was totally lost...hadi siku moja nilipoamua kufunguka na kumuangukia Karim kua nahitaji msaada wake, sitaki nyumbani wajue ila natamani kupona...
 
HATA KAMA aisee touch ya mtu wako wa karibu unaijua bwana yaani mtu hadi anamaliza ndyo ujue siyo yeye
Ya Bella tumuachie Bella mwenyewe, maybe alijua akaona ajikaushe
 
Ngoja kwanza Just Nana hii ni true story ama!?
 
SEHEMU YA MWISHO:

Kuna wanaume na kuna wavulana, Leon kwangu atabaki tu kua mvulana, najua nilimuumiza sana lakini pigo alilokuja kunipa lilikua zito sana, Leon alipoona simtafuti tena kwa ajili ya kupasha akaanza kupeleleza na kugundua kua nilikua rehab...hakutaka kuridhika yule mwanaume, hakukua na ushahidi wa kutosha hadi leo lakini ndani ya moyo wangu naamini kua Leon alisababisha ile ajali ya Karim.

Karim alipata ajali mbaya sana ya gari ambayo ilimuweka kitandani kwa zaidi ya miezi minne, alipoteza mguu mmoja akawekewa mguu wa bandia, nashukuru upendo wa Halima alipambana hadi Karim akapona, Kuna namna unaweza kutamani wakati urudi nyuma usahihishe makosa yako lakini wakati ni hakimu mzuri, unakuadhibu pale unapokua hauendi nao sambamba , Leon alikuja akapotea tu ghafla na hatukuwahi kumuona tena, hua naomba asije kutokea tena katika maisha yangu.

Nilipambana kupona, wanangu walikua wananihitaji...familia yangu ilikuja kufahamu niliyopitia na walikua wananipa sapoti sana, maana sharti mojawapo la kupokelewa rehab ni lazma ushirikishe familia, kupona kunaanzia ndani yako pamoja na msaada wa wanaokuzunguka, usilione tatizo lako kama ndio mwisho wa kila kitu bali ulikubali na upambane nalo.

Wazazi wangu hasa mama aliumia sana, alikua akija kuniona anajikaza asilie lakini unaona tu jinsi nilivyomuumiza , hiyo ilinipa nguvu ya kupambana nije kua mama bora kwa wanangu...mda wote huo watoto walikua kwa mama, ni kama niliivuruga hivi familia yangu kwa tamaa zangu.

That guy Karim, a man and a half, yule mwanaume alinipambania jamani, nilimuumiza sana baada ya kugundua kua nilikua namsaliti na Leon tena ashawahi kunikula mle ndani kwake, nilikua tayari hata kuachana nae kama ataona simstahili, ila alinikumbatia mnooo, akaniambia najua umekosea na najua umejifunza, Leon alikua haepukiki, adhabu yako nilitakiwa kuibeba mimi, mimi ndie nilimuumiza Leon, sikutakiwa kufanya nilichofanya pale hotelini Serengeti, nikiwa kama mwanaume nayahisi maumivu ya Leon, nimemsamhe nawe msamehe apate amani huko alipo...we are even now....

Nilitoka rehab baada ya miezi minne, nilikua nimebadilika sio tu kuacha unga, niliamua kusimama katika misingi ya dini, nilimpa Mungu maisha yangu ayaongoze, peke angu sitoweza. Nilisimama Kama mama imara, nilisimamia maadili ya dini kwa wanangu kuhakikisha wanaenda Madrasa, nikaanza kuswali na kuzingatia swala zote kwa utii kabisa, nilipata amani ya moyo na kweli nilimuona Mungu, Karim alikua amepona na maisha yaliendelea...hakua na mguu mmoja lakini alibaki kua ni mwanaume yuleyule mwenye utu na upendo uliotukuka kwa familia yake...

Mwisho...

Wasalaam...Just Nana
 
Sijawahi elewa kwann kuna baadhi ya wanaume wanaweza kung'ang'ania mahusiano baada ya kusalitiwa
 
mhhh pole Bella ila haya yote ni makosa yako usimlaumu Leon na yeye ni binadamu alikuwa anatetea hisia zake...tamaa zako ndyo zimemponza na Karim
Yaap...alipanda mbegu mbaya, mwanaume ambae umemcheat sana Kama alivyomcheat Leon hakutakiwa kumsogelea hata, na unajua kua alijua ulimcheat...na bado umechagua upande wa adui, daaah
 
Story imekaa poa. Pia haikua na arosto ya kutusubirisha sana. I don't blame Leon in anyway. As a man, najua namna alifeel kwa mliyomfanyia. Mimi ningewanyia kitu mbaya zaidi.

[emoji28][emoji28][emoji28]
 

Tulioangalia Fifty Sheds of Grey tushaelewa hapo ilikuaje[emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…