Just Nana
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 500
- 1,038
- Thread starter
- #61
SEHEMU YA KUMI
Mama alishaondoka na maisha yaliendelea ,ingawa hadi anaondoka tumeshagombana mara nyingi tu zisizo na idadi, akimaliza kulalamika hili anaibua lile, yule mzee anastahili pongezi kwa kuishi na huyu mwanamke jamani, ila wenyewe wanaelewana balaaa, kweli kila shetani na mbuyu wake.
Maisha ya usingle mom yakaanza rasmi, Leon hakuacha kunicheki mara kwa mara, kuna mda anakuja anamchukua Lisa wanaenda kuzurura anamrudisha jioni, yaani 'he was more than a family,' nimemkalisha vikao wapii, nikaanza kumtafutia wanawake kwa date sites, wapiii....nikaona nimuache tuuu apambane na hali yake. Nilikua nimeashanza kazi, Leon alitafuta muangalizi wa Lisa mama mtu mzima, akatuhamisha nyumba kubwa zaidi ili Lisa aweze kukua katika mazingira bora, maana nilikua naishi kwa apartment imejibana kidogo, nilikua mwenyewe ilikua inakidhi mahitaji.
Siku nyingine Leon anakuja analala pale kwetu, mara aache t shirt , mara ajifanye kasahu boxer , mdogo mdogo nikamwambia Leon unateseka tu fanya uhamie[emoji23][emoji23][emoji23].
He moved in officially, maisha yakasonga, akaanza kuniletea zawadi, kunitoa outing na mambo kibao, kwa namna fulani alipambana kunisahaulisha kuhusu Karim, one evening baada ya kupata dinner , tukiwa nje kwa pool , Mimi Leon na Lisa, Leon akaniambia Bella najua kila kitu, and i've tried to be patient, najua unampenda sana Karim, I don't know why, ila najua uliwahi nipenda Bella, what we had was special, never had that experience before...please take me back, I promise to be good, nakupenda na hakuna kilichobadilika, you need a man kwa maisha yako, Lisa needs a father.
Sijui ni upweke au maumivu ya kutelekezwa na Karim , I just hugged that man cried and he took me to his arms, akanambia you are safe baby girl, no man deserve to make you cry, alinibembeleza sana , akanambia nimekusamehe hata ambayo hujaniomba msamaha, nakupenda, just love me back Bella.
Tukaanza rasmi mapenzi na Leon, this time Leon was more serious, hakutaka kufanya makosa, hakutaka uzungu mwingi, game kama tunagombana, napelekewa moto hadi naomba poo, si alidukua mawasiliano yangu akaona jinsi namsifia Karim kuhusu kunipelekea moto bwana, after two months za kurudiana akanambia twende Tanzania nataka nikatoe posa nikuoe, I don't want to loose you anymore, Leon alikua wa moto balaa, nikaanza kunawiri and slowly nikasahau kuhusu Karim.
Safari ya kurudi Tanzania ikawadia, safari hii sasa tulirudi watatu sio peke angu Kama hapo nyuma, nilikua nimeshamueleza mama kila kitu kwaio wanafamilia walishajua kua nakuja kuchumbiwa tena na mzungu, jamani sio kwa mapokezi yale. Hii kasumba ya kuabudu wazungu sijui itatuisha lini jamani, ile siku hadi ndugu ambao hawahajawahi kufika kwetu walifika kuja kumuona mkwe mzungu, kwa Leon ilikua zaidi ya furaha, alifurahi kwa ule ukaribisho mnooo, hawa wenzetu wako so real akifurahi kafurahi na akinuna kanuna, sio huku kwetu unafiki kwa kwenda mbele.
Kila kitu kikaenda sawa, kwakua Karim alinitelekeza hakuna hata ambae aliuliza habari zake, nami sikutaka kujua anaendeleaje kwa kweli, baada ya kumaliza kila kitu Leon akaomba twende Serengeti kumalizia sherehe yetu huko, tulisafiri Mimi, Leon, Lisa pamoja dada wa kazi wa pale nyumbani. Siku ya kwanza Serengeti ikaenda poa, siku ya pili tukiwa hotelini tunapata chakula waliingia timu ya madaktari wakachukua meza mbili mbele yetu, inavyoonesha walikua na semina pale hotelini, hamad...uso kwa macho na Karim...