LOVE STORY: That Guy

LOVE STORY: That Guy

That was our first sex mazee, tukaingia bafuni nikajua tunaoga then tunatoka , daah Karim...nikajikuta nimeinamishwa nikashika sink, karimu akaanzia kuniosha my papuchi kwa ulimi... oh my God
Ni daktari na haogopi Oropharyngeal cancer, anyway naelewa mapenzi yakikuchanganya utafanya lolote.
Nice story.
 
NAMBA SABA:

Leon alikua ni mtu wa IT , he was working as an IT manager kwa kampuni yao binafsi palepale SA, anaijua computer kama amezaliwa nayo, kwaio kale kasimu kangu kalikua ni kama katoy kwake, dakika kumi na tano zilimtosha kuset program zake na kujua kila kinachoendelea kwa simu yangu kuanzia calls, text messages , email na watsaap , wakati mi nimelala mwenzangu alijipa kibarua chenye manufaa kwa upande wake.

Maisha yalisonga, mawasiliano kati yangu na Karim yalizidi kupamba moto pia , huku mahusiano yangu na Leon yakizidi kudorora sana. Kwa ule mwaka mmoja nilirudi Tanzania mara mbili kwa visingizio vya hapa na pale, ila kubwa ilikua kuonana na Karim...mapenzi hayafichiki jamani, my mom alishtukia kinachoendelea kati yangu na Karim na kumbuka mama hana analolifahamu kuhusu Leon kwaio hakua na pingamizi mimi kutoka na Karim, alichoshauri kama mzazi ni kua kama tunapendana tuhalalishe maana kilichokua kinafanyika ni dhambi ya uzinzi. Nanzaje kumwambia mama kua binti ake kipenzi nimeangukia kwa mchumba wa mtu, naanzaje jamani.

Sijui niseme ni bahati mbaya au ni bahati njema , hata sielewi mtanisaidia wasomaji...nilipata ujauzito wa Karimu, ukimpenda mtu jamani hata huwazi yajayo kama yatafurahisha ama lah. I knew about my calendar na nilijua kua zilikua siku za hatari, nadhani kilichotokea nilikitarajia pia maana nilijua ipo siku Karim hatokua on my side walau niwe na kitu cha ukumbusho wake, nilijua jinsi iyo kitu itawafedhehesha nyumbani lakini kwa wakati huo nilikua naongozwa na hisia zaidi ya ufahamu wa kawaida. Naweza sema nilijitegesha ili nipate ujauzito, Karim asingekubali kuniingilia unprotected kama angejua kua nipo kwa danger days, yaap...I won and after some weeks nilianza jihisi tofauti, hiko ni kipindi nilikua namkwepa Leon kama ukoma aiseee, sikutaka kuchanganya tarehe kabisa, I wanted to be sure of whose baby that is.

Leon alizidisha malalamiko, kunifata kazini hakukuisha ila sikutaka kumsikia, I just told him I need some time alone, na hakuwahi nionesha kama anajua lolote kuhusu Karim, he just acted normal. Leon asked of how much time I need, nikamwambia nitamtafuta nikiwa okey...aniache kwanza, yaap...he stepped down, ila alikua akinicheck kwa simu karibia kila siku kujua naendeleaje na kama nahitaji chochote na kunisisitiza kua ananipenda, hadi hapo hakuna mtu anajua kua niko na ujauzito even mr. hacker ( Leon) maana sikujadili na yeyote kuhusu hali yangu ya ujauzito hata Karim hakua akifahamu.

Sababu ya ujauzito sikumudu kusafiri tena, nikamuomba Karimu aje SA nimemmiss na pia nahitaji kujadili nae jambo, sikutaka ajue hali yangu akiwa airport kwaio nikavaa koti kuubwa, nilihitaji kumfanyia surprise and it somehow worked. Tukafika kwa hotel, niliona si vyema kumpeleka kwangu kwa kumuhofia Leon, ingawa tulikua tumepeana break ya mda ila niliona sio poa, Leon amekua akifika pale kwangu mara nyingi isiyo na idadi kwa hiyo sikutaka kumuaibisha hivyo kwa majirani.

We were at our hotel room alone, nikaingia bafuni kuoga, Karim alitaka kunifata nikamwambia No...I need some moment ,kwaio akaniacha nitangulie, nikaoga nikavaa a bathrobe mbele iko na tukamba tu, nikatoka kwa bafu nikamkuta yule mwanaume anajiandaa kuja kuoga....nikasimama nikiwa nimeshikilia mlango wa bafuni kwa woga nikatoa ile nguo na kuiachia ishuke chini, kitumbo kangu kikaonekana, nikamuona Karim Kama amepigwa na butwaa hivi, akaniuliza Bella, naona sawa au? Are you pregnant...I was just standing there namuangalia, akanisogelea akanikumbatia akaninyanyua juu akaniambia thank you Bella...thank you.

Kifuatacho si mnakifahamu jamani daaah...mambo ya skudu makudubella yale...mtoto anahitaji vidole vitano jamani, so we made sure anatoka akiwa kamili...I was happy maana nilijua atakasirika ila alifurahi sana, akaniuliza vipi kuhusu nyumbani, nikamwambia sijawaambia bado ila nitawaeleza, akaniuliza umelelewa katika ukristo Bella wangu, utakubali kubadili dini nikuoe, sitaki mwanangu alelewe na mwanaume mwingine, I said yes...hata angenambia nibadili kabila kwa yule mwanaume I was ready walahi.
 
NAMBA NANE:

Mimba haijifichi jamani, nilijificha wewe, waaapi, kazini walinigundua mapema tuuu, kumbe na bwana hacker taarifa akawa amezipata pia, ila aliamua kukaa kimya, hakuacha kunicheck na kuuliza kama nipo okey, nadhani alipiga hesabu zake akajiongeza tu kua mzigo sio wake. Kupitia mama nikafahamu kua Karim ameenda kujitambulisha rasmi nyumbani na kutoa posa. So I was officially his fiance, kimbembe kinakuja kwa yule mchumba wa mwanzo wa Karimu, hakutaka kuelewa somo, hakutaka kuolewa mitala kwaio ikawa imemuweka Karim njia panda, na kumbuka walikua hawajafunga ndoa bado ,huyo dada alikua bado mwanafunzi wa chuo. Karimu ilionekana anampenda sana huyo dada maana tukiwa tunaongea alikua ananambia Bella am not okey, sipo okey na Halima and that stuffs.

Ilikua inaniumiza kuona ni kama nimevuruga amani ya yule mwanaume, anataka kunipigania lakini hataki kumuuumiza Halima, alichojibu Halima ni kua amemsamehe mchumba ake kwa kunipa ujauzito na atalea huyo mtoto lakini hahitaji mitala kwa mda huo, she can take care of her man. Kwa wakati huo ndio akili ilikuja sasa, ule wakati wakutumia hisia ukawa umeisha, majuto kwa mbali yanakuja yanakata... lakini nikikumbuka kua nilitaka mwenyewe najikuta najipa imani kua kila kitu kitakua sawa...kwaio Halima akawa amejua kua nilimuibia mwanaume wake and I went extra mile kujipea mimba.

Halima alipambana akaolewa the same year, ndoa za kiislam si kama zetu wakristo eti mafundisho miezi kadhaa, matangazo matatu ya ndoa kanisani, sijui vipingamizi, wenzetu
saa nane mahari, saa kumi ndoa, tena hata kwa msaafu unaolewa, kwaio kabla sijajifungua Halima akawa mke rasmi wa bwana Karim. Yale mamlaka ya kumwambia Karim naomba uje SA yakawa hayapo tena.

Halima alidhamiria kunikomesha maana miezi michache mbele akabeba ujauzito , akaahirisha mwaka chuo akaamua kulea ndoa yake na ujauzito wake, hapo nimebakiza siku chache nijifungue, my mom ikabidi aje SA maana nilishindwa kusafiri sababu ya ujauzito kua mkubwa na kuhofia complications during the flight hours.

Nilijifungua salama mtoto wa kike mrembo mnooo, alifanana kila kitu ma mimi ila alifata macho na midomo ya babake, Karim ako na sweet lips in away unatamani uzitafune tuuu, ndio akazipata binti angu mpenzi. Alichoshangaa mama ila aliamua kukaa kimya ni kutomuona Karim hospitali wala nyumbani, guess who was there...Mr. hacker. Kutokana na hali ya ugonjwa mama alishindwa kuniuliza chochote, aliniacha nipone kwanza, Leon was there day and night since the first day nimekua nimepata uchungu, taking care of me and the baby, alileta mahitaji yooote, na alikua huru kufanya hivyo maana si amenihack kwa hiyo anajua ubuyu woote kuanzia kutolewa posa hadi ndoa ya Halima.
 
Nikupe maua yako unakaa a good story teller baby girl
 
NAMBA NANE:

Mimba haijifichi jamani, nilijificha wewe, waaapi, kazini walinigundua mapema tuuu, kumbe na bwana hacker taarifa akawa amezipata pia, ila aliamua kukaa kimya, hakuacha kunicheck na kuuliza kama nipo okey, nadhani alipiga hesabu zake akajiongeza tu kua mzigo sio wake. Kupitia mama nikafahamu kua Karim ameenda kujitambulisha rasmi nyumbani na kutoa posa. So I was officially his fiance, kimbembe kinakuja kwa yule mchumba wa mwanzo wa Karimu, hakutaka kuelewa somo, hakutaka kuolewa mitala kwaio ikawa imemuweka Karim njia panda, na kumbuka walikua hawajafunga ndoa bado ,huyo dada alikua bado mwanafunzi wa chuo. Karimu ilionekana anampenda sana huyo dada maana tukiwa tunaongea alikua ananambia Bella am not okey, sipo okey na Halima and that stuffs.

Ilikua inaniumiza kuona ni kama nimevuruga amani ya yule mwanaume, anataka kunipigania lakini hataki kumuuumiza Halima, alichojibu Halima ni kua amemsamehe mchumba ake kwa kunipa ujauzito na atalea huyo mtoto lakini hahitaji mitala kwa mda huo, she can take care of her man. Kwa wakati huo ndio akili ilikuja sasa, ule wakati wakutumia hisia ukawa umeisha, majuto kwa mbali yanakuja yanakata... lakini nikikumbuka kua nilitaka mwenyewe najikuta najipa imani kua kila kitu kitakua sawa...kwaio Halima akawa amejua kua nilimuibia mwanaume wake and I went extra mile kujipea mimba.

Halima alipambana akaolewa the same year, ndoa za kiislam si kama zetu wakristo eti mafundisho miezi kadhaa, matangazo matatu ya ndoa kanisani, sijui vipingamizi, wenzetu
saa nane mahari, saa kumi ndoa, tena hata kwa msaafu unaolewa, kwaio kabla sijajifungua Halima akawa mke rasmi wa bwana Karim. Yale mamlaka ya kumwambia Karim naomba uje SA yakawa hayapo tena.

Halima alidhamiria kunikomesha maana miezi michache mbele akabeba ujauzito , akaahirisha mwaka chuo akaamua kulea ndoa yake na ujauzito wake, hapo nimebakiza siku chache nijifungue, my mom ikabidi aje SA maana nilishindwa kusafiri sababu ya ujauzito kua mkubwa na kuhofia complications during the flight hours.

Nilijifungua salama mtoto wa kike mrembo mnooo, alifanana kila kitu ma mimi ila alifata macho na midomo ya babake, Karim ako na sweet lips in away unatamani uzitafune tuuu, ndio akazipata binti angu mpenzi. Alichoshangaa mama ila aliamua kukaa kimya ni kutomuona Karim hospitali wala nyumbani, guess who was there...Mr. hacker. Kutokana na hali ya ugonjwa mama alishindwa kuniuliza chochote, aliniacha nipone kwanza, Leon was there day and night since the first day nimekua nimepata uchungu, taking care of me and the baby, alileta nahitaji yooote, na alikua huru kufanya hivyo maana si amenihack kwa hiyo anajua ubuyu woote kuanzia kutolewa posa hadi ndoa ya Halima.
Story ndo imeishia hapa?
 
NAMBA TISA:

Mapenzi mapenzi mapenzi...nakuita mara tatu, kwanini umeniadhibu hivi, kwanini mimi...msomi, mrembo, niko na pesa, natoka familia decent, why mapenzi yanitese hivi, sijawahi kupata jibu walahi....

Nikawa nimepata nguvu na nilishaanza mazoezi ya hapa na pale, katika kitu sikuhitaji ni kuharibu shape yangu....nilijua ni mrembo na nilikua naona fahari Ile kuangaliwa na kupewa compliments , uko mzuri, hakuna feeling tamu ya kua mwanamke kama kujifahamu kua wewe ni mwanamke mrembo[emoji23]...ila pamoja na hayo yote moyo wa yule mwanaume Karim ulikua unakuja halafu unakataa kwangu.

Mama aliniweka kikao siku chache baada ya kupata nguvu, kile kikao si kama vikao vingine vilivyopita, ile siku yule mwanamke alikua mpole sana, na unaona maumivu yake kama mama. Alianza kwa kuniuliza Leon ni nani kwangu, nikamwambia ni mwanaume wangu wa zamani kabla sijakutana na Karim, akaniuliza pia ujauzito ni wa nani? nikamwangalia mama kwa mshangao, kwanini awaze hivyo? mi ni mchumba wa Karim official napataje ujasiri wa kubeba mimba ya mtu mwingine, nikamwambia mama ni ya Karim, you knew it from the beginning.

Mama akaniambia Bella, my beautiful girl, Karim yuko wapi hadi sasa? anafahamu kua umejifungua , nikamwambia mama anafahamu, tunawasiliana, na leo tumewasiliana, akaniambia Bella Kuna kitu unanificha mwanangu...Karim ni nani? Kwanini hajatokea katika wakati huu mgumu, vipi nisingemudu kufika mwanangu, ina maana Leon ndio angekua ndugu pekee kwa wakati huu?

Nilijikuta tu naangusha machozi, mama akaniambia kwa leo binti angu hata sitokukumbatia, nataka uniambie ukweli, nini kinaendelea na maisha yako ya mahusiano, is Karim real loves you? nikamwambia mama nisamehe tu, hatuwezi muongelea Karim...nisamehe mama, niliingia chumbani nikalia for hours, aisee nililia mnooo, nachokumbuka ni mama kuniambia kua , yeye Kama mzazi anatamani kuniona niko na furaha, na pia nisiwaumize wengine wakati wa kutafuta furaha yangu,kama ni kweli niliyemchagua ni Karim, Basi nikae na Leon nimwambie ukweli kua ninampenda mtu mwingine, just release that boy Bella, alikesha nami hospitali na bado anaendelea kusumbuka na maisha yako, let him go, unamtesa kijana wa watu.

Sio Kama sikua na ya kumwambia mama kuhusu Karim ,yalikuwepo tena mengi, ila sikuona kama ni busara maana mama angu namfahamu, angemchukia Karim na lile jambo lingefika kwa mzee kila kitu kingeishia hapo, my dad loves me walahi, sijui ni vile nilikua mtoto wa kwanza na pia nilikua wa kike pekee, sikutaka wamchukie Karim kabisaaaaa, na hapo kumbuka dogo niliyeenda nae hospitali kumfata Karim kwa mara ya kwanza hadi leo bado hajawahi mkubali Karim, kwani mashemeji mna nini jamani daaah.

Niliyabeba moyoni maumivu ya Karim, ni kama alikua amenitelekeza, nilidanganya tu kwa mama kua tunawasiliana, ila ukweli Karim hakunichek kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Nilijitahidi kujipendekeza wapii, nikamtumia picha za ultra sound ya mwisho kabla ya kujifungua lakini wapi, siku chache kabla ya kujifungua nilimtumia ujumbe kua nimebakisha siku chache sana, kama utaweza kuja nitafurahi mnoo, ule ujumbe haukujibiwa ,yaani kwa kifupi Karim ghosted me.
 
Back
Top Bottom