LOVE STORY: That Guy

basi msingi wake umejengwa kwenye mchanga!
we ALL KNOW kwamba the only Rock to rely on IS Christ, mengine huwa ni mbwembwe, mvua zikinyesha, pepo zikavuma nyumba hudondoka!
Huko kwenye dini sitoingia sana, tuwaachie makuhani
 
Leo naishia hapa
 
Khaaaa
 
Wewe utakuwa muislamu na lengo kuu ya hii hadithi yako nikutuhamasisha kuwa uislam ni dini nzuri kuiabudu jingine ujue kitu .
Maisha ya kuwa ndani hakuna kitu ni unateseka sana . Bila kuwa na Mungu upo upo tu maisha ni magumu sana bila Yesu, Yesu ni njia pekee ya uzima na ambayo itakupeleka mbinguni


Good day NB : ukiwa na yesu umepata kilichochema na unaishi kwa amani
 
Am Christian dear...born and raised in Christian, sijawahi kufikiria kua muislam ila sijawahi kudharau dini ya mtu, hayo ni maisha ya Bella, namuheshimu mnooo kwaio ni maamuzi yake na yatabaki kua hivyo, hopefully sijakukwaza mam...soma story achana na mambo ya imani za watu, nilikua majibu tu maswali
 
😍😍😍😍 leta basi ingine basi story
 
Bella hatumii social media yoyote kwa sasa zaidi ya WhatsApp, hana kwanza huo mda, ratiba take ipo fixed balaa...yaani huyo Leon kumpata Bella labda aje nayeye asomee ushehe[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Atakuja tu, madhambi aliyofanya kama karma haijamaliza kisasi chake ajiandae tena.
 
Daaah, ila she is way better now nitamshangaa akifanya ujinga...way too better, amejifunza commitment in a very hard way...
Omba Leon asirudi ama lah nae awe amebadilika.
Mwanamke kwenye mambo ya hisia kama hayo sio wa kumuamini sana.

Na kwa story hiyo Leon ni kichwa sana, yuko njema upstairs.
 
Omba Leon asirudi ama lah nae awe amebadilika.
Mwanamke kwenye mambo ya hisia kama hayo sio wa kumuamini sana.

Na kwa story hiyo Leon ni kichwa sana, yuko njema upstairs.
Tumuombee tu dada etu, Leon ni kama jini yaaani
 
...Kusema kweli Bella alimkosea sana Mr.Haker... Na Bella ndio chanzo cha yote... Mwanamke usikubali kabisa kuwa mbali na mme/mpenzi wako... Maana wanaume tuna mbinu za kivita nyingi sana... Ukimsikiliza gent kwa takribani dakika 5 tu aliehitimu mafunzo akapata na chet kabisa... umekwishaaa hata kama unapesa au bwana ako ana pesa kiasi gani...

Wanawake kuweni makini huwa inauma sana mnapotuacha aisee...
 
Good kwann udharau dini ya mtu kwa vile ww huamini kila mtu aamin anacho amin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…