LOVE STORY: That Guy

LOVE STORY: That Guy

SEHEMU YA NNE;


Kwa msaada wa mama nikatoka bafuni, akanipa nguo za kuvaa akaenda kunifatia chai akaniletea chumbani...ukubwa dawa , mama akajua tu hapa pana namna, hakutaka kuniuliza sana, akanambia tu nijiandae tutoke wawili, amemisi kukaa na mimi sehemu tulivu.

Mama alikua dereva ile siku, alijitahidi kuniongelesha ili niwe okay, nilijitahidi kua sawa maana mama angu ni dakika mbili mbele, ukizingua makofi, alishawahi kunambia nitakutandika makofi hata mbele ya mme wako, hua sipendi ujinga...kwaio nakuaga nae kwa machale sana. Tulifika Bagamoyo mchana wa kama saa nane ivi, mama alimpigia mzee kua tutalala Bagamoyo nipo na Bella, 'we need some girls quality time...'baba akasema haina shida mkikwama mtanambia.

Tulipata msosi safi pale, sea food za kutosha , nilizimiss walahi, angalau nikawa naanza kua poa, mama akaniuliza kama ningependa kuogelea nikamwambia hapana labda tukae tu ufukweni tupunge upepo. Akaanzia mbali yule mwanamke ila mwisho wa siku ikabidi tu nimwambie ukweli kua nampenda sana Karim na naona Kama haoneshi nia...mama akaniuliza sasa mwanangu mwenzio anajua Kama unampenda? Nikamjibu hatujawahi ongea ila hisia hazifichi mama, mama akaniuliza unajua lolote kuhusu Karimu? Nikamwambia hapana maana hajanipa muda wa kumfahamu...mama akanambia sasa mrembo wangu, unataka kunisononesha na kujitoa roho kwa mtu ambae hata hajui Kama unampenda? Nikamwambia mama Karim anajua ananifanyia tu makusudi, akaniuliza umewahi hata kumtumia ujumbe kua unahitaji uonane nae, some guys are shy baby girl...hebu jaribu kumuweka karibu, mtext maana watsaap haiongopi, akiendelea kukuignore then sio fungu lako...nikamwambia mama nitafanya hivyo, lilifata somo la mahusiano pale kama lote, unaweza kujaza counter book quire one dahhh...thank you mom!
SEEEEE
 
SKUDU MAKUDUBELA ( namba sita wajameni)....

Hii sehemu iko na strong sex acts, kwaio kabla sijakukwaza please skip it , bado the rest episodes zitakufanya tu uelewe kinachoendelea...[emoji847]...basi twende kazi....

Nairobi tulichukua a suit in a hotel, so ilikua full , we even had our own chef, nakumbuka mimi nilifika usiku wa saa nne, alikua ameshafika mapema sana, akafanya all arrangements then akaja kunipick airport. Ile naingia tu room nikabebwa juu juu hadi kwa bed , nilikua nimevaa short pant ya blue na t shirt nyeupe, sikujua hata zilivuliwa saa ngapi ila tu nilishtuka Karim anatembeza ulimi kwa mwili wangu, yaani zile shoti za umeme daaah, imagine jinsi nilikua nahitaji iyo moment na hapo nipo nayo, Karim was good and nakiri tu he was damn good.

Then followed the kisses , zile deep kisses, unakiss huku unalia, Leon was a good kisser, french guys kwa kukiss ni noma sijui wanafundishwa wale, ila Karim ako na sweet lips damn, those lips were so good, so wet, he was kissing like ananing'ata ivi, I was busy cuddling him, hugging him and appreciating what he was doing right there.

Tulikua tumeisubiri hio moment kwa sana sikutaka kusubiri tena, sikutaka mambo mengi, I just wanted the ownership though I knew I'm just borrowing him, but right there he was mine, damnn...he was all mine. I just touched his manhood, nikaingiza tu mwenyewe, si nimeililia ile kitu jamani, acha nipewe tuuu, that guy was inside me, yeesss...that moment...that beautiful moment.

That was our first sex mazee, tukaingia bafuni nikajua tunaoga then tunatoka , daah Karim...nikajikuta nimeinamishwa nikashika sink, karimu akaanzia kuniosha my papuchi kwa ulimi... oh my God....that guy, that crazy fucking guy, sikua na jinsi nilipiz tena, Karim came from behind, ikapigwa doggie moja matata, nikamsusia mtoto wa mama mkwe daaah, na hivi nimejaaliwa huko nyuma [emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Nilikua mwepesi mno, nikamwambia baba naomba msosi, tukaingia jikoni, kumbe alimwambia chef utaanza kazi kesho, leo ntampikia mwenyewe huyu mrembo, nilivaa one of his t shirt, na huu mzigo nyuma, basi ni balaa tuu, tukaingia jikoni akaanza kupika yule mkaka. He wasn't just a good doctor and a good lover, he was a good cooker as well. Palikua na mushroom pamoja na samaki na potatoes, yule baba alitoa kitu pale daaah...tukala ,tukaanza kucheki mieleka kwa living room. Niliamka tu asubuhi saa nne najikuta nipo kwa kitanda, Karim was not there. So alinibeba hadi kwa bed daaah, nikatoka nikaingia bafuni nikajiweka poa, nikaelekea jikoni kuangalia cha kumuandalia mwanaume yule, nikakuta msosi tayari, chef kashafanya yake. ikabidi nimpigie Karim akanambia nipo huku balcony nilikuacha upumzike, ye hapendi kulala sana...

Nilikaa kwa balcony nikiwa namuangalia usoni, yaani tunaangaliana, ila mapenzi dahhhhh...sijui hata tulianzaje nikajikuta tu nimepiga magoti nikampa blow job yule mwanaume, naachaje sasa , mwanaume kajikunja vile kunipa raha naachaje kumpa hiyo mambo, Karim aliniangalia akanambia you are so crazy ma, nitakubinua hapa shauri ako...

Niseme tu tulikulana sana, halafu wiki ilikatika kama maji yaani daah, kalikizo ka one week kwangu kakawa kamekata, nilitakiwa kurudi SA. Ile siku ananisindikiza airport nilijikuta nalia kwanza ,akanihug kwa upendo akanambia relax nakupenda , tutaona jinsi tutafanya , mi mwenyewe umenichanganya sana, so I had to go, akahakikisha nimeingia ndani ndio akaondoka.

Shida ikaja Leon was demanding mnoo, akawa ameanza kupata na mashaka maana nilikua namkataa sana, nilikua bize sana na nilikua naficha sana simu yangu, one night Leon alikuja kwangu kulala, sikua meonana nae kitambo nikaona acha aje tuu, nikiwa nimelala akachukua simu akacheki nimebadili password, from there akapiga mstari kua kuna mambo hayapo sawa, shida nini haelewi hata.
Daah
 
NAMBA NANE:

Mimba haijifichi jamani, nilijificha wewe, waaapi, kazini walinigundua mapema tuuu, kumbe na bwana hacker taarifa akawa amezipata pia, ila aliamua kukaa kimya, hakuacha kunicheck na kuuliza kama nipo okey, nadhani alipiga hesabu zake akajiongeza tu kua mzigo sio wake. Kupitia mama nikafahamu kua Karim ameenda kujitambulisha rasmi nyumbani na kutoa posa. So I was officially his fiance, kimbembe kinakuja kwa yule mchumba wa mwanzo wa Karimu, hakutaka kuelewa somo, hakutaka kuolewa mitala kwaio ikawa imemuweka Karim njia panda, na kumbuka walikua hawajafunga ndoa bado ,huyo dada alikua bado mwanafunzi wa chuo. Karimu ilionekana anampenda sana huyo dada maana tukiwa tunaongea alikua ananambia Bella am not okey, sipo okey na Halima and that stuffs.

Ilikua inaniumiza kuona ni kama nimevuruga amani ya yule mwanaume, anataka kunipigania lakini hataki kumuuumiza Halima, alichojibu Halima ni kua amemsamehe mchumba ake kwa kunipa ujauzito na atalea huyo mtoto lakini hahitaji mitala kwa mda huo, she can take care of her man. Kwa wakati huo ndio akili ilikuja sasa, ule wakati wakutumia hisia ukawa umeisha, majuto kwa mbali yanakuja yanakata... lakini nikikumbuka kua nilitaka mwenyewe najikuta najipa imani kua kila kitu kitakua sawa...kwaio Halima akawa amejua kua nilimuibia mwanaume wake and I went extra mile kujipea mimba.

Halima alipambana akaolewa the same year, ndoa za kiislam si kama zetu wakristo eti mafundisho miezi kadhaa, matangazo matatu ya ndoa kanisani, sijui vipingamizi, wenzetu
saa nane mahari, saa kumi ndoa, tena hata kwa msaafu unaolewa, kwaio kabla sijajifungua Halima akawa mke rasmi wa bwana Karim. Yale mamlaka ya kumwambia Karim naomba uje SA yakawa hayapo tena.

Halima alidhamiria kunikomesha maana miezi michache mbele akabeba ujauzito , akaahirisha mwaka chuo akaamua kulea ndoa yake na ujauzito wake, hapo nimebakiza siku chache nijifungue, my mom ikabidi aje SA maana nilishindwa kusafiri sababu ya ujauzito kua mkubwa na kuhofia complications during the flight hours.

Nilijifungua salama mtoto wa kike mrembo mnooo, alifanana kila kitu ma mimi ila alifata macho na midomo ya babake, Karim ako na sweet lips in away unatamani uzitafune tuuu, ndio akazipata binti angu mpenzi. Alichoshangaa mama ila aliamua kukaa kimya ni kutomuona Karim hospitali wala nyumbani, guess who was there...Mr. hacker. Kutokana na hali ya ugonjwa mama alishindwa kuniuliza chochote, aliniacha nipone kwanza, Leon was there day and night since the first day nimekua nimepata uchungu, taking care of me and the baby, alileta mahitaji yooote, na alikua huru kufanya hivyo maana si amenihack kwa hiyo anajua ubuyu woote kuanzia kutolewa posa hadi ndoa ya Halima.
Wanawake oyeeee
 
SEHEMU YA KUMI NA SABA:

I was officially with them both, yaani ilitokea tuuu nikawa namiss show za kibabe za Leon, na akawa ananipatia kweli, nikiipeleka anahakikisha nimelia hadi nimelia tena...Karim was busy with work , kusafiri na pia familia mbili, siku zilivyozidi kusonga nikajiona kama nazidi kukaa kwa Leon, namiss kampan yake , ule ukaribu ukaanza kumpa hofu Karim sana, akaanza kufanya uchunguzi wake.

Hatukua na habari kama Karim anatufatilia, tukawa tunajiachia kila tunapopata mda, kilichokua kinamsaidia Leon ni vile akija anachukua na watoto, kwaio kama ikawa inampunguza kasi Karim kufahamu ukweli maana outing zangu karibia zote nilikua natoka na watoto. Tukitaka kujiachia wawili tunaenda mbali, Arusha au Zanzibar, hela ilikuwepo, nasepa na ndege ya asubuhi naliwa na Leon narudi usiku nalala nyumbani kwangu.

Mapenzi hayajifichi aisee, kuna mda I was confused Kati ya Karim na Leon nampenda zaidi nani? kuna vibe fulani hivi linakuja nikiwa na Leon, na kuna namna napata amani nikiwa karibu na Karim...like am safe with him...I was confused, za mwizi arobaini kwangu hazikufika hata ishirini na tano walahi, mbona nakamatwa mapema hivi.

Nilipata ujauzito,nikasema ukisikia kuumbuka ndio huku, nilikua natumiaga calendar maana Karim alikataa njia nyingine na alikua makini na callenda yangu, tatizo ni kua Leon tunakutana accidentally, na kuna mda yanakua mazingira ambayo ni unprepared sex kwaio hata condom inakua haipatikani, kuhofia ujauzito nikawa natumia after pills, ila sio kila siku jumapili eeeh, Kuna siku Leon kaniotea , I was on danger days na sikua mazingira ya kupata after pills.

Nikajipa moyo nitatumia P2, nafika nyumbani Karim akanibana sana sikupata mda wa kutoka, ilikua ijumaa jioni, Karim akanambia hii weekend nataka kushinda na wewe , nikupikie , nikudekeze mama , ubize umezidi siku hizi wataniibia bure, ni kama alikua anatupa jiwe gizani maana siku nzima nilikua Zanzibar na Leon daaah...

Watoto sikuwakuta, walikua wameemda kwa bibi yao pamoja na dada, nyumbani tulikua wawili tuuu, nilikaa na Karim the whole weekend, kumbuka masaa yanaenda natakiwa nipate p2 , namwambiaje Karim kua nahitaji hizo dawa, Karim alijua kua nipo kwa danger days kwaio akatumia kinga, inamaana kama nitapata ujauzito itakua ni wa Leon, nikawa naiona talaka walahi, katoto kazungu kwa familia ya kibongo, kichekesho cha mwaka hiki, nilihaha si kidogo.

Ila nikajipa moyo kua mekaa na Leon SA karibia miaka mitano sikuwahi pata ujauzito, japo tulikua tunatumia calendar pia, nilikua binti sijazaa sikutaka kujiharibu shape yangu na mauzazi ya mpango, lakini zilikuwepo siku za kujisahau, tumelewa tumefanyana, sikuwahi pata mimba, nikajipa moyo hamna kitu kitatokea hata, ni hofu yangu tuuu...

Basi vinachelewa kujibu, baada ya kama wiki tatu nikaanza kuonesha mabadiliko, Karim ni daktari akaninote mapema tuu, siku hiyo akawa ananiuliza kuhusu kalenda yangu yaani kama ananidodosa hivi, nikashtuka huyu kawaje leo anaulizia mambo hayo wakati yeye ndio anaijua kuliko mi mwenye nayo, mi hadi nichek kwa simu , mimba zisizohitajika hua na maajabu yake jamani, hadi mda huo nilikua sina dalili yoyote ya tofauti mwilini mwangu, ila sijui yeye Karim alinote kitu gani, Karim akanambia Bella una ujauzito, nikacheka nikamwambia mimi bellla , no way.

Ile ilikua kama allarm yaani, nikamchek Leon the next day, halafu alivyo mpuuzi hata hana wasiwasi, ananambia nitalea Bella, hilo ndio la kuogopa au? Nipo hivi huyu mwanaume ananitafuta nini jamani, yaani katoto kazungu kwa ile familia nakapelekaje? Nikamwambia Leon hii kitu haiwezekani, Karim ataniua walahi...nitadhalilika, kila mtu atajua nimechepuka . Leon never cared at all, nikaona huyu nikimchekea ataniharibia, nikafanya process za kuutoa ule ujauzito kabla mambo hayajaharibika, sababu ilikua ndogo haikua shida sana, nikapata dawa pharmacy nikaflash, kimbembe kilikua kwa Karim, anajua kuhusu my period maana anajua callenda yangu yote, akashangaa anataka mzigo namwambia sitomudu natumika.

Karim akawaka, nikamwambia kwani period si inaweza sababishwa na mambo mengi tuuu, elewa kua natumika , pakazuka ugomvi pale ndani, akanambia nimebadilika sana...nikaomba radhi yakaisha. Mi ni mwepesi wa kuomba radhi napoona mekosea, ila kuna namna nikawa namiss yale maisha na Leon, nikawa napata ile hali ya kutamani kusmoke, kwa aina ya maisha naishi mi siwezi pata izo vitu, sina mazoea na watu wa mtaani, kwaio ili nikate kiu lazma nimchek Leon , ambacho sikujua ni kua Leon alikua ananiwekea drugs kwa zile weed.

Nilikua natembea kwa reli ya Leon, I was where he wanted me to be, nikaanza kupata ile addiction, Leon popote ulipo ulaaniwe walahi...Leon came back to destroy my life, nilikua najizuia nisimuone lakini addiction ya unga ni kitu ingine walahi. Nikajipeleka kwa Leon baada ya masiku kadhaa, nikamwambia Leon I need to smoke, akanambia hiyo sasa haitokusaidia, piga hii, akanipa unga wenyewe sasa, nikwamwambia Leon unga huu, akanambia unataka kupona au? I was shocked lini ameanza hayo mambo, was I the cause? nilikua nataka msaada kwaio sikuremba hata, nikapiga nikakaa kama nusu saa ndio nikawa sawa, Leon akanitumia tena ile siku, naweza sema kutumika maana I wasn't in a mood kwa sex ,nilikua mechoka sana.

Zilifata siku nyingi zenye maumivu sana, Leon alinigeuza teja rasmi, akawa ananipa unga na ananitumia atakavyo, nilikua najitahidi Karim asijue lakini teja ni teja tuuu....Karim akanote kitu , akanambia Bella unanificha mambo mengi lakini haupo sawa mama, ule urembo ukaanza kupotea si kama zamani, nilikua najitahidi kujiweka sawa, ila shida ya unga inakufanya ukose kujiamini, I was totally lost...hadi siku moja nilipoamua kufuenguka na kumuangukia Karim kua nahitaji msaada wake, sitaki nyumbani wajue ila natamani kupona...
Duuh Leo Grande leo dada leoleo-tu is a mastermind
 
Back
Top Bottom