Love vs Sex

pamoja na yote ,Kana kuwa na onenight is not a solution,solution ni communication tu,NAKWAMBIA UKWELI KUTOKANA NA EXPERIENCE,LEO HII MKE WAKO AKIPATA MWANAUME MWINGINE ,ATASEX NAYE MASTYLE YOTE ,NA PIA WATESEX MPAKA HASUBUHI,WE SIUNAMUONA ANACHOKA BASI AKIPATA MTU MPYA WATASEX MPAKA ASUBUHI,MININA MARAFIKI WA KARIBU KABISA WANANIELEZA HAYO,SO USIFIKIRI MWENZAKO NDIO AMEKISHWA HAPANA,CHAMUHIMU BORESHA TU MAPENZI ,NAJUA NI NGUMU MAANA UMESHAJIWEKEA KICHWANI KWAMBA UNAHITAJI KDGO VYA NJE ,ILA JITAHIDI KUBADILISHA KWANZA HAPO NYUMBANI.
 

Si lazima ayasemayo Eddie Murphy yawe ni "ukweli", kwani naye ana weakness zake, ambazo labda anataka kuzi-justify.
Maybe tunatofautiana ktk definition ya "love".
What's the driving force behind the "mechanical process"? If you believe in cause and effect, anyway. If you think you can curb your emotions and feelings, what is it that makes you go after other girls/women? You know yourself better than anybody else.
 

My friend hapa ulichemka! Hukupaswa kulala na mwanamke mwingine, na hili ni kosa ambalo kamwe huwezi kulihalalisha. Kadri utakavyoendelea kujitahidi ku-justify kosa hili ndivyo utakavyozidi kumfanya mkeo akose imani na wewe, kwani ataona kuwa hakika utarudia maana unaona ni sawa ulichofanya. Ungama, tubu kwa mkeo na kwa Mungu, halafu mhakikishie kwamba umekosa na unaahidi kuacha kabisa. Halafu onesha kwa vitendo hayo mabadiliko utakayomwahidi. Kwa hayo tu mwanamke atakuelewa na kukusamehe, bali kinyume cha hapo una hatari ya kuipoteza hiyo ndoa. Pole sana, na heri ya mwaka mpya.
 

Kanakansungu, what you are demonstrating here is sheer selfishness, I must tell you boldly. Unajifikiria mwenyewe tu kuhusu mambo ambayo ulikuwa unayapata kwa mkeo lakini siku hizi huyapati. Vipi kuhusu yale aliyokuwa anayapata kwako zamani na sasa hivi hayapati? Hivi yeye unamfikiria hata kidogo? Unasema unampenda mkeo? Si kweli, humpendi. Kumpenda mke hakutokani na unachosema bali unachotenda. Kwa matendo yako haya ya kibinafsi na kukiri kwako, humpendi huyu mama na mimi namsikitikia sana kuingia katika uhusiano wa namna hiyo. Na usitake kudanganya watu kuwa wanaume wote wako kama wewe, HATUKO HIVYO, ni wewe tu unataka kuhalalisha ubinafsi wako kwa kudanganya watu kwamba wanaume ndivyo tulivyo. Narudia, wanaume waaminifu, wema kwa wake zao, ambao wako sensitive na feelings za wake zao, wapo wengi, na ndoa zao zimejaa mapenzi, hakuna ulalamishi kama huu wa kwako.

Hivi huoni kwamba hayo unayomshutumu nayo mkeo kuwa yanakupunguzia starehe, yametokana na upendo wake kwako? Ungekuwa unampenda ungeyapokea kwa shukrani, na kujadili naye jinsi ya kupunguza impact ya hayo mambo na kuboresha mapenzi yenu. Kwa mfano unadai baada ya kuzaa amenenepa na hawezi tena mitindo yenu ya zamani! Lakini kumbuka amezaa na wewe kwa sababu anakupenda, ni mkeo, na watoto waliomfanya awe hivyo ni wanao! Ni sadaka kubwa sana amejitolea kwa ajili yako, wewe unamshutumu? Pili unamshutumu kuwa muda mwingi amechoka na eti ukitaka ngono hadi ubembeleze! Mbona unasahau hayo yanayomchosha ni kwa ajili yako na wanao? Unadhani yeye anataka kuchoka tu, hapendi kupumzika na kufurahia ngono kama wewe? Anachoka kwa sababu ya kukuhudumia wewe na wanao, na huu pia ni upendo na kujitolea sadaka kwa hali ya juu. Badala ya shukrani unatoa shutuma!

Nakutahadharisha, na hili limewatokea wanaume wengi. Haya unayofanya sasa hivi yanamuuma sana mkeo na anatunza kumbukumbu akilini. Siku itafika haya majukumu yatapungua, watoto watakua, na atakuwa na muda wa kutamani naye tendo la ndoa. Lakini wakati huo, kama utakuwa umeendelea na tabia hii, atakuwa hana tena hisia juu yako, na usishangae akipata mwanaume mwingine (tena kijana mdogo tu sana kwako) ambaye watapagawishana kisawasawa. Ndipo utakapoanza kulia wivu, na kama JF bado itakuwepo, utaleta mada hapa ya kuomba msaada kuwa mkeo anatoka nje ya ndoa wakati ana "umri mkubwa"! Utakuwa umeyataka mwenyewe!
 
Kana ka Nsungu uko wapi kaka?

Mi nakubaliana na wewe katika moja..kwamba sex na love ni vitu viwili tofauti! I can understand KKS kuwa ameoan lakini ado anakuta ni muhimu kuchovya nje..ijapokuwa ntakubaliana naye kuwa kwa sili yetu wanaume tunakuwa na tamaa kuliko wanawake, sababu ambazo ametaja kuwa zinamsababisha atoke nje ndioz zilizo flawed..kama alivosema kituhuku hapo juu

Mkuu, a one nite stand, sawa, lakini isiwe sababu mkeo kagain weight au kwa sababu amechoka au something...mi nimeoa muda mrefu tu na kama alivosema Bubu (japokuwa sijui kasemaje au hapa imebidi aseme) ni kuwa bado tuko newly wedd, na siri ni kuwa jaribu kukeep the original situation as much as possible, na pia usiruhusu watoto wachukue nafasi yako! wewe ni 'mtoto wa kwanza' ( wanawake wa tanga wanalijua sana hili) na unastahili nafasi yako kama mtoto wa kwanza!

kama ni kucheat, ambapo siwezi kubisha huwa inatokea, iwe ni kwa sababu ya 'weakness zetu' na sio za wenzetu!
 

Ujumbe wa Eddie Murphy una apply kwa wanaume rijali wote, I want it everyday and she cant cope with that, so what do we do? Separate? No, I dont think so, we have got kids and we love each other and we are so happy.
 

NT samahani nilikua bush for new year lakini niko mtandaoni sasa. Wanaume kwenye ndoa hatubadilikagi, wake zetu ndio wana matatizo. Yaani nikikumbuka enzi zile nampigia misele mke wangu ilikua- mtoto kimodo(kuna watu walimshauri agombee umiss!),sasa hivi jimwili hiloooo! tulikua kila tukikutana amejikwatua kinoma lakini sasa kajitupa kichizi, tulikua tukipiga game yani hakuna kulala!Siwezi kumlazimisha sasa eti anifanye mie ndo mtoto wa kwanza, it natural wanawake kuwapenda watoto zaidi yetu, there is nothing we can do about this.
 

Kithuku, najuta sana kuoa, now that im married-im begining to believe that most marriages are fake, If you really love somebody, do you really need to sign any document to prove that?Kwanini tusiishi tu na tukichokana kila mtu anachukua time yake? Mimi Im still capable of doing what I used to do to her, the problem is her- she cant cope and I guess she is getting old.
Kama ni watoto ningeweza kuwazaa bila hiyo ndoa. I believe im a free spirit, just like wind, an adventurous!
 

Heri ya mwaka mpya kwako pia kaka pamoja na wote wanaosoma hii post, na asante.Sijui kama mwenzangu Kithuku uko kwenye ndoa? kama ni hivyo i guess ndoa yako ni changa bado, subiri utimize miaka kumi na watoto watatu ndo utajua what im talking about here. Na nakuomba wewe pamoja na wengine ambao hamjaanza haka kamchezo msiingie kundini, its some kind of addiction , a delicious sin!
 

Sina doubt kuwa mke wangu atasex na mwanaume mwingine yoyote.Shuruba tu ambayo naipata mimi ambaye ni mumuwe halali kupewa mchezo ni kubwa sana, kuku nwangu mwenyewe hadi nimshikie manati jamani? sembuse wapita njia? I cant see it hapening in the near future.
 
At the same time, don't put anything past her. She may be creeping on you too. And you find that out you probably will flip out and lose it. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu weeeee
She cant do it to me, the word "SEX" doesnt exist in her dictionary!
 

Hujawahi kujikuta majaribuni?kama umewahi uli escape vipi? Umekua kwenye huu msala wa ndoa miaka mingapi? Umeshawahi kunyimwa kwa kisingizio cha "sijiskii" au "nimechoka mpenzi"? Any kids?
 
Hujawahi kujikuta majaribuni?kama umewahi uli escape vipi? Umekua kwenye huu msala wa ndoa miaka mingapi? Umeshawahi kunyimwa kwa kisingizio cha "sijiskii" au "nimechoka mpenzi"? Any kids?


Miaka mingi tu bro...ndoa yeyote yenye muda mrefu hupitia majaribu kama hayo, na kama waliomo kwenye ndoa hiyo hawakuwa makini basi ndoa inaweza kuvunjika na ili hali bado wanapendana. Hayo niliyokwambia ya kumsaidia mkeo nyumbani mimi mwenyewe nayafanya na cha ajabu sijamsikia mama chanja akisema nimechoka, mara ya mwisho ilikuwa mwaka 47....πŸ™‚ na hakuna anayelalamika kuhusu 'sex life' yetu na pia tuna watoto wanne.

"Kunyimwa" once in a while siyo kitu kibaya wakati mwingine unanyimwa kwa sababu shughuli za jana yake zilikuwa nzito hivyo anaomba kupumzika...πŸ™‚ Lakini kama frequency ya 'kunyimwa' inaongezeka katika rate ya kutisha basi inabidi mkae chini muongee matatizo katika ndoa yenu na kila mmoja wenu aje na suggestions kipi kila mmoja wenu afanye ili kuboresha ndoa yenu.

Wewe angalia hapo nyumbani ni kazi zipi unaweza kuzifanya vizuri, mwambie mkeo kwamba kwa kuwa anachoka sana na kuchoka kwake kunapunguza libido lake...πŸ™‚ basi wewe utazifanya kazi hizo ili mpate muda zaidi wa kuspend 'quality time together' utaona atakavyofurahi hata yale mapigo yenu alipokuwa spring chicken anaweza kukuonjesha tena....πŸ™‚ kila la heri.
 
bubu inalekea huyu kana ka sungu anaomba ushauri but hayuko tayari kuupokea. I conquer with you. Going out has no any excuse.
Inategemea normal communication yao ikoje. Mazungumzo pindi jambo lolote linapo go wrong is very important. Na unajua women always are great in bed only when you have good communication, you show affection and help. Sex kwao huanzia mbaaaaaali si chumbani tu. Unlike men they can just do it. Sasa when a couple know how to comunicate well kila siku haiwezi kuleta tabu.

What I observe from kana ni total selfishness. Je tumuulize anakuwa romantic in words, gestures throughout the day? hata kumwambia umpendeza or u look sexy mamaa? or some sexy text msgs akiwa kazini? or even a hug when you are leaving in the morning saying I cant wait to have you at night?

Unajua men always forget that its so easy to dangaya wake zao with simple things but they often take them for granted afu wakikutana na other ladies wanawasifia.

Kanakasungu unayaweka maisha yenu ya ndoa matatani sana kwa kuflip out.
Mimi ni mama married with three kids but I have never felt I need to go out. Reason is COMUNICATION. when something seems loose nasema, when am tired sisubiri kusaidiwa naanza kusema mapema, darl please help me bath the kids. And so many things like that and Never have I regreted being married. Am happy and eevryday is better than yesterday.
 

Ahsante sana kwa mchango wako mzuri. Nimefurahi kujua pia kwamba wewe ni mwanamke maana ukumbi wetu unahitaji wanawake wengi kama wewe ambao wanashiriki katika mijadala mbali mbali. Haya majina tunayotumia hapa mengi hayatusaidii kujua jinsia ya mchangiaji...πŸ™‚
 
KKN...
1. Nikuulize upo ktk DINi Gani? nakuuliza hivi kwasababu wengi wanaokwenda NJE ya NDOA HAWANA KHOFU ya ADHABU BAADA YA KIFO.

2. UISLAM kama mfumo kamili wa Maisha ya Mwanadamu umetoa RUHUSA iliyofungamana na UADILIFU ya kuoa mke zaid ya MMOJA. Mzungu au mwanadam anapotengeneza mashine huwa anatengeneza na USER GUIDE/MANUALs, ukienda kinyume na manuals ni kukiharibu chombo.
M/Mungu muumba wa M/damu ndie ajue Functions za Viungo vya mwanadamu. Ungekuwa Muislam ungeruhusiwa kuoa mke mwingine. Pia Ukifanya KOSA la KUTOKE NJE ya NDOA wakati umeoa ni KOSA la JINAI linalohitaji Upigwe mawe hadi UFE.

3. Wengi wetu Hatujui Lengo la NDOA. Wale wanaofikiri SEX its wrong. Marriage is a responsibilities. hapa unajenga Familia...unapokwenda Nje ya NDOA watoto watakaopatikana HUKO watakosa HAKI nyingi, moja URITHI, pili NASABA pia watoto wanaozaliwe NJE ya NDOA wanakuwa WANYONGE.

4. Kwa Utaratibu wako wa Kwenda NJE ya NDOA..unaonaje mtu akatambea na MAMA YAKO... UKIZINI NA DADA NA MAMA ZA WATU UJUE WATU NAO WATAZINI NA MKEO< MAMA YAKO< NA DADA ZAKO? JE utajisikiaje?

Kingene punguza kula au Funga mchana hii iko proved hupunguza matamanio yako....
 

Niko kwenye ndoa tangu 1994, tuna watoto wanne, na hatuna shida hizo ulizoandika hapa. Tuna tabu zetu nyingine ndogondogo ambazo wala hata hatumsimulii mtu, tunazimaliza zinavyotokea, zinazotushinda tunakaa nazo. Nahisi ulioa mwanamke uliyekuwa ukimtamani sana (ndio maana unazungumzia alikuwa "modo" nk), lakini hukumpenda. Ulimtamani tu.
 

Thanks, Kithuku! Happy New Year!
Hata nami nilimwambia brother Kana khs hilo la kupenda, lkn bado anasisitiza kuwa anampenda mkewe pamoja na hayo ayafanyayo. Ngoja niangalie km alinijibu khs anavyoi-define "love".
 
Huu mjadala nimeufatilia na nachoweza kusema, umenifungua macho sana. Nimepata kujua tabia za baadhi ya wanaume, thanks kana kwa kuwa muwazi. Ila nafikiri you are so unfair to your wife.
 

Tehe, tehe, tehe, Kithuku you are married to avery smart man, kama mumeo anakucheat you will always be the last to know, tena kama mnaishi majuu ambako hamna umbea ndio basi!! You cant rule anything out, unaonekana unaishi kwa matumaini tu which is a good thing. Dont get me wrong pse, I still love my wife, and Im confident- sleeping with other women will never change this forever.So unadhani mumeo alikupenda tu bila kukutamani?hadi akaamua kukuoa? ridiculous! You must be ugly kama ni kweli na labda alikuoa tu just for the sake of it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…