Kaka Kasana, issue hapa sio mapenzi, naomba nieleweke sana kuwa mke wangu bado nampenda tena sana-(ref;kwenye main post nilichosema). Kilichobadilika ni our sex life ndo maana nalazimika kusaka vicheche vya one night stand now and then. Ukweli ni kwamba wengi hamtaki kuadmit kwamba ile sex life ya mwanzo wakati hamjapata watoto ni tofauti kabisa na baada ya watoto, mkeo alikua kimodo enzi hizo- mapigo yote anakwenda, nikimkunja hivi anakunjika lakini baada ya kuzaa kawa bonge- we are limited in styles na kuna vitu nilivyokuwa naenjoy enzi zile lakini sasa hivi hawezi kunipa, na pia enzi hizo energy yake ilikua babu kubwa lakini siku hizi saa zote kacho, nikitaka hadi nibembeleze....
Kana, jitahidi wewe na mkeo mtafakari mpo wapi kimapenzi. Kuna "tips" nyingi tu ndugu yangu unaweza kutafuta ili mambo yawe mazuri nyumbani tu!
Mimi bado sijaoa lakini nipo mbioni kufukukuzia pesa ya mahali na nioe soon, si unajua tena baadhi ya makabila bongo?. Wakiishajua tu mkwe mtarajiwa anatokea ng'ambo basi dau hupanda kwa kasi.
Nafikiri moja ya "tips" hizo ni kutafuta muda wenu nyie wawili tu na pahala pa faragha bila kuwepo watoto wala nani.
Kwa kuwa maisha ya UK yamejaa "stress" mnaweza kuwaomba ndugu, jamaa au marafiki kushinda na watoto wenu nanyi mkaenda "vacation" labda Holiday In ya mji mwingine au hoteli na huko mnakuwa na nafasi ya kukumbushana mambo mengi tu na kuona wapi pana kasoro.
Kwa hio mnakuwa mnapanga kwamba kila mwezi au kila baada ya wiki mbili ni "nokies" tu na si vinginevyo.
Pili, nafikiri suala la "sex" kwa wanandoa sio lazima liwe chumbani tu. Mnaweza kubadili "venue" iwe jikoni, sebuleni na hata bafuni "provided" watoto hawapo na mida hiyo kupo kimya.
Nafikiri akina mama nao wanapenda uwepesi wa mwanamme katika kudhibiti "resilience" ili kuleta burudani lakini kama ikiwa baada ya ndoa mzee uzito unaongezeka kutokana na maanjam na vyakula vitamu na mama nae ku-"gain more weight" ni dhahiri kwamba katika "department" ya "orgasim" kutakuwa na "problem" iwe mwanamme au mwanamke.
Halafu nanihino inataka kujiandaa mjomba. Huwezi ukatokea mzigo uwe ni box au kazi zingine ngumu halafu mara tu unaingia uwanjani, unaweza kufa, kwa hiyo inabidi unaingia katika bafu ambayo mama ameikosha kwa hali ya juu na ameishajaza maji na sabuni ile ya foam halafu mzee unarelax mle ndani kama nusu saa hivi.
Baada ya pale unapata msosi wako na unatulia (wakati huo mama nae anakuwa alikwishajiandaa). Na msosi wenyewe usiwe mwingi uwe wa kawaida tu ambao unaweza kuleta tija kwa mwili katika kutengeneza habari ya watoto.
Tatu, ni kuhusu kuambizana kwamba kila mtu kati yenu anapenda nini. inabidi muwe free na kama kweli mlioana kwa hiari kila mmoja wenu atafurahia ndoa na mapenzi yenu. Offcourse kuna mambo ya kuelekezana wapi penye raha na nini.
Ukumbuke sex ipo ya aina mbili, ile ya starehe tu na ile ya kutafuta watoto lakini katika mapenzi inabidi muwe free kukubaliana ni wakati gani wa kutafuta watoto au wa kustarehe tu.
Lakini kama kweli unampa mamaa haki yake kisawasawa na yeye akawa anakua wa kwanza kufikia kileleni kabla yako halafu wewe ndio ufuate, basi wewe na yeye ni milele.
Mwisho ni kwamba nafikiri ndoa yoyote yenye imani na maelewano inalipa sana.