Love with reasons!

Love with reasons!

Ijuganyondo

Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
62
Reaction score
1
Eti jamani ni kweli kwamba hakuna lov without a reason?eti unapenda/wa kwa sababu?! Eti unampenda m2 kwa sababu ni mweusi,mweupe,mrefu,mfupi yuko bright skul,ana fedha,gari,nyumba,kazi n.k? Manake hiyo factor iliyomfanya akupende iki-disappear ndo mwisho? Je,kweli hapo kuna tru love?!
 
There must a reason my dear..in most cases the main reason huwa ni kula tunda which is definetly not true lov
 
Hakuna mapenzi bila kuvutiwa na kitu chochote mkuu
 
We nawe ukisubiri kesho ndo ukaweka thread nyingine itakuaje??Jibu:HAMNA KINACHOFANYWA BILA SABABU!
 
duuu ndugu yangu..
mmmhh kwa dunia ya sasa

napenda kiita Material Love...

sio kama zile enzi za kina bibi anaozeshwa kwa mutu yeyote...
 
duuu ndugu yangu..
mmmhh kwa dunia ya sasa

napenda kiita Material Love...

sio kama zile enzi za kina bibi anaozeshwa kwa mutu yeyote...

Umenikumbusha wimbo wa Material Girl wa Madonna, ngoja niupate kunako my pc
 
Umenikumbusha wimbo wa Material Girl wa Madonna, ngoja niupate kunako my pc

hahahah lol
kweli Madona ndo Material girl..
miaka inasogea mbele ye anazidibaki nyuma (hazeeki)
hahah lol
 
Wala sio makali..nimejibu kwakutumia logic!Alafu hizo thread angekuja na moja ikishachangamka na kupata majibu yake ndo aanzishe nyingine ingependeza zaidi!

Tough Love
 
Loving a person without a reason is the true love; when you love someone because of something it is love but not true/ real.
 
Sometimes Love Doesn't Ask Why

Better familiarize your sub conscious part of brain with your desirables..at least u can be safe when it happens ..mostly happens un prepared.
 
huwa ukiniuliza nikupe jibu la kwanini nilimpenda niliyempenda huwaga sinaga jibu na mara nyingi ukiona unampenda mtu kwa sababu fulani ujue huna mapenzi ya kweli kwake ila wewe ni mbabaishaji hilo unalolipenda likiondoka na mapenzi huwa yanakwisha

neno nakupenda kutoa huwa ni gumu lakini napolitoa huwa lina maana kubwa na wala sihitaji kutafuta sababu huwa nasubiri moyo wangu useme kuliko kuangali material things.
 
Back
Top Bottom