Love

Love

aisee, mganga wako wa wapi?

Sijui zamu ya manesi itafika lini, au wanatuogopa sababu ya night shift

Usicheze mbali na love connect zamu yenu karibia walimu na manesi ni marketable!!!
tunajua kulea familia afu kazi hazitubani sana, nikiona tu tangazo nitakuita.....
he he he hakuna mganga ni huu ualimu tu!!
 
i can't wait zamu yetu ifike
isipofika nahamia ualimu

ujue King'asti ni mlinzi lakini Paw amemuoa

Usicheze mbali na love connect zamu yenu karibia walimu na manesi ni marketable!!!
tunajua kulea familia afu kazi hazitubani sana, nikiona tu tangazo nitakuita.....
he he he hakuna mganga ni huu ualimu tu!!
 
Last edited by a moderator:
life is all about love or education qualifications...?watu wengine bhana madarasa yote ulosoma still unataka mchumba kwa kigezo cha kozi ulosoma daaaahhhh...what a waste...uhuru wa maoni na kusema..huuu
 
Hi all , Nahitaji mchumba ambaye anajiheshimu na mwenye kupenda kusoma , sifa kubwa awe ana Bachellor ya science hasa biological science or Education, nipo serious kwa mdada wa ki tz aliejaliwa hizo sifa ani PM her contacts inbox. Life is all about love!!!
duh!!! mzee hizo qualifications unataka kumchumbia kweli au kumuajiri?si useme tu unahitaji a female superviser wa miradi yako be it science college,dispensary,chemist's shop or whatever.
 
Nipo supermarket tayari, naona watu na mabandiko yao wanahitaji wachumba walimu.....
yani hadi sahivi kigezo cha umri tu ndo kinanikosesha ndoa mie!!!

Dada evelyn salt, una umri gani? au ulimaliza form four mwaka gani?
Nikisoma jina lako ulimi wangu unasisimka, nadhani umri hautakuwa kikwazo.
 
Back
Top Bottom