Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
aisee, mganga wako wa wapi?
Sijui zamu ya manesi itafika lini, au wanatuogopa sababu ya night shift
Usicheze mbali na love connect zamu yenu karibia walimu na manesi ni marketable!!!
tunajua kulea familia afu kazi hazitubani sana, nikiona tu tangazo nitakuita.....
he he he hakuna mganga ni huu ualimu tu!!
Hao inatokeaga kimazali zali tu lakini hizi fani mbili uhakika kabisa!!!
shaka ondoa nesi.....
duh!!! mzee hizo qualifications unataka kumchumbia kweli au kumuajiri?si useme tu unahitaji a female superviser wa miradi yako be it science college,dispensary,chemist's shop or whatever.Hi all , Nahitaji mchumba ambaye anajiheshimu na mwenye kupenda kusoma , sifa kubwa awe ana Bachellor ya science hasa biological science or Education, nipo serious kwa mdada wa ki tz aliejaliwa hizo sifa ani PM her contacts inbox. Life is all about love!!!
Nipo supermarket tayari, naona watu na mabandiko yao wanahitaji wachumba walimu.....
yani hadi sahivi kigezo cha umri tu ndo kinanikosesha ndoa mie!!!
Dada evelyn salt, una umri gani? au ulimaliza form four mwaka gani?
Nikisoma jina lako ulimi wangu unasisimka, nadhani umri hautakuwa kikwazo.
Nawe wahitaji mchumba mwalimu!!!
1st choice walimu wengine wanafuatia.