Sawa, ngoja nichague.Jurjani fanya upumzishe mashairi wikiendi hii....
Chagua meseji inayonifaa hapo juu....[emoji6][emoji3059]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, ngoja nichague.Jurjani fanya upumzishe mashairi wikiendi hii....
Chagua meseji inayonifaa hapo juu....[emoji6][emoji3059]
Sikupendi Mpenzi...
Nipo wangu....wewe tu...hujanifuata huku nilipowewe unanipenda tena sanaaa[emoji28]
mambo vipi ? naona umefichwa tena
Ha ha ha na unawapa sasa?
Nipo wangu....wewe tu...hujanifuata huku nilipo
Aisee huyu mdau ananitafuta ubaya, zote kali ila naanza na hii namba "1". Si naruhusiwa kuchagua nyingine mbili au moja tu pekee ?Jurjani fanya upumzishe mashairi wikiendi hii....
Chagua meseji inayonifaa hapo juu....[emoji6][emoji3059]
Za kutosha weekend yoteAisee huyu mdau ananitafuta ubaya, zote kali ila naanza na hii namba "1". Si naruhusiwa kuchagua nyingine mbili au moja tu pekee ?
Nipe mda.....ila usisahau kuzichanga[emoji23]kwa sababu hutaki kunisaidia ile shida yangu
Bora aisee umenipa uwanja wa kujimwaya mwaya, nyingine hizi 4 na 5.Za kutosha weekend yote
Thank you[emoji23]jamani, last i have seen such a thing ilikuwa ni mwaka 2010
mwanamke hufurahishwa na neno lolote na aka feel special hata ukimwambia “nimekukumbuka” inatosha kumfurahisha
Nipe mda.....ila usisahau kuzichanga
Kuna mahali nimeona ka memes:ndio,na mwanamke mwenyewe awe amependa[emoji16] maana ukimwambia umemkumbuka na wakati hakupendi hakuna kitu hapo
Thank you
Was like si mtu uamke tu asubuhi utume what you really feel kuliko hizi copy and paste lol
Ukijifanya Kimwaga hujengi hata choo mpaka unafika miaka 60mkuu[emoji23] ukisema utowe pesa utakufa masikini.hapa kwenye simu yangu kuna vizinga vya kama laki 2 ndani ya week moja nimeuchuna tu
Kuna mahali nimeona ka memes:
"Unajitumisha ma sms ukidhani kwamba uko romantic kumbe mwenzio anakuona msumbufu tu"
Kimsingi nilicheka sana but kiukweli wanawake wa mjini hawataki sms za mapenzi sikuhizi...kundi linalothamini hizo text labda watoto wa O'level ambao hawana exposure.
Hata usipompigia simu, we msogezee miamala tu.
Yani ile paap,,, nakutumia kaela ka lunch mama! Story zinaanza baada ya hapo sasa kwamba umemmiss na blah blah afanye muonane soon. Hapo mtoto wa mjini umemmaliza.hahahaha ni kweli mkuu,yani wanawake wa sasa hata usimtafute mwezi wewe fanya muamala tu
hapo kwenye watoto wa O-level umenikumbusha jamaa yangu mmoja juzi tu hapa alipata kitoto cha form 4 kizuri sana ila jamaa amekiacha bila hata kufanya kitu nilipomuuliza akasema kina ma texts ya kitoto na anaogopa miaka 30
🙈🙈🙈na huwa mna katabia kama hamtupendi hamsemi directly[emoji23],hakuna kitu kinauma kama hiki
[emoji85][emoji85][emoji85]
Mi nasemaga kwakweli. Sipendi kabisa kumpa mtu false hope.
Ili kiukweli hili swala huku kwetu si wanawake, si wanaume. Watu wanaburuzana bila sababu [emoji57]
Na shida ni kwamba sie waswahili hatujazoea kuwa wakweli. Yani mtu anaona bora akuzungushe zungushe ilhal hujamkamata [emoji817] kuliko akuambie ukweli ukatafute faraja kwingine.