Lovely texts you can send a girl to make her feel special

Jurjani fanya upumzishe mashairi wikiendi hii....
Chagua meseji inayonifaa hapo juu....[emoji6][emoji3059]
Aisee huyu mdau ananitafuta ubaya, zote kali ila naanza na hii namba "1". Si naruhusiwa kuchagua nyingine mbili au moja tu pekee ?
 
[emoji23]jamani, last i have seen such a thing ilikuwa ni mwaka 2010
mwanamke hufurahishwa na neno lolote na aka feel special hata ukimwambia β€œnimekukumbuka” inatosha kumfurahisha
Thank you
Was like si mtu uamke tu asubuhi utume what you really feel kuliko hizi copy and paste lol
 
ndio,na mwanamke mwenyewe awe amependa[emoji16] maana ukimwambia umemkumbuka na wakati hakupendi hakuna kitu hapo
Kuna mahali nimeona ka memes:

"Unajitumisha ma sms ukidhani kwamba uko romantic kumbe mwenzio anakuona msumbufu tu"

Kimsingi nilicheka sana but kiukweli wanawake wa mjini hawataki sms za mapenzi sikuhizi...kundi linalothamini hizo text labda watoto wa O'level ambao hawana exposure.

Hata usipompigia simu, we msogezee miamala tu.
 

hahahaha ni kweli mkuu,yani wanawake wa sasa hata usimtafute mwezi wewe fanya muamala tu
hapo kwenye watoto wa O-level umenikumbusha jamaa yangu mmoja juzi tu hapa alipata kitoto cha form 4 kizuri sana ila jamaa amekiacha bila hata kufanya kitu nilipomuuliza akasema kina ma texts ya kitoto na anaogopa miaka 30
 
Yani ile paap,,, nakutumia kaela ka lunch mama! Story zinaanza baada ya hapo sasa kwamba umemmiss na blah blah afanye muonane soon. Hapo mtoto wa mjini umemmaliza.

Vitoto vya O'level vina mapenz ya kutaka kumkontrol mtu 😝 mapenz ya kishamba kwa sie ma guru kweye love games.
 
na huwa mna katabia kama hamtupendi hamsemi directly[emoji23],hakuna kitu kinauma kama hiki
πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
Mi nasemaga kwakweli. Sipendi kabisa kumpa mtu false hope.

Ili kiukweli hili swala huku kwetu si wanawake, si wanaume. Watu wanaburuzana bila sababu 😏
Na shida ni kwamba sie waswahili hatujazoea kuwa wakweli. Yani mtu anaona bora akuzungushe zungushe ilhal hujamkamata πŸ’― kuliko akuambie ukweli ukatafute faraja kwingine.
 

hahhaah[emoji23] unakuta upo na mtu unaona kabisa hakupendi ila ukimuuliza hasemi unajikuta tu umejiongeza unampotezea.mi ujue naona mapenzi ya huku kwetu ni ya tofauti sana na hata majirani zetu wakenya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…