Loveness 'Diva' alikuwa video queen mbovu toka bongofleva ianze

Loveness 'Diva' alikuwa video queen mbovu toka bongofleva ianze

Wanajiita superstars. Hv superstars ni watu wa aina gani labda mm sielewi
 
ukiacha hivo vyoooote vya sura,cjui na nini,Mimi ulimbukeni wake tu na kujifanya mzungu kwangu ni kero kubwa sn,Mara ooh sisi watanga noma kwenye nanihiii,kumbe ni bk moja,kwanini anajitambulisha kabila tofauti na asili yake?( ulimbukeni) Mara ohh watu wanaofanya mpz jinsia moja wasibughudhiwe ni haki yao,aarghaaa( kutuletea uzungu afrika,nao ushenzi tu) pamoja na utoto mwingine nlikoma kumsikiliza miaka miwili now.
 
Ila si ilikua zamani technology ya zamani na sasa tofauti
 
Hahahaha [emoji23] kweli kanywa lita million 1 za maji ya Dawasco hahahhahah
ImageUploadedByJamiiForums1463238790.577643.jpg
 
Mnyamwezi bayser kabla hajaanza bangi na kuwa msela...kabayser ni mega superstar kibong bongo..yani A-lister...haha
 
Huyo diva mm namjua kisana yaan....kabla ajajipendekeza kwa pindu alikuwa anagegedwa na brow wang naitwa Doca ni rafik yake kinoma madee....alikuwa mbaya kinoooma
 
Af huyu diva hadi kuna picha yake moja hv mbaya sana ilishawahi trend mtandaoni miaka ya 2012. Mbaya sana ile
 
Hahhaahahaaaha bro mnatisha kacheza ligi kubwa mtandaoni kaziondoa zote
 
Huyu dada kwa sisi tunaomjua tunajua alivyokuwa now days anajishauwa lakini enzi hizo wakati anatoka na pingu wa alikuwa mbovu sana kipindi kile anatokea kwenye video ya Joanith kama Video Queen


dah kweli
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 miss Tanzania Queenelizabeth

Samahani nimekosea 🙄🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom