Loveness Love Diva Binti anayekuja juu

Loveness Love Diva Binti anayekuja juu

........sauti yake sasa!!!! ebwana daaaah.huwa silali mpaka amalize show.
she is also good katika selection ya nyimbo zake. yupo juu
i544_diva.jpg

 
Thank God Liyumba hayuko mtaani

Kazi kweeeeeeeeeeeeeli kweli yaani ni taabu tupu we mwache ajifanye ni Diva wa Tz watamuweka kwenye udaku kama picha Iren Owaya zinavyotapaka kwa sasa kwenye magazeti ya udaku.

Mwache atoe macho na kujitakia misifa ya kijinga tu
 
Yote sawa ila mwache awe huru kuamua. Ndio hao wanaomjenga sasa mpaka mkamuona anafaa. Ulionalo ni hardware, software ni pale alipo na waliomzunguka sawaaaaaaaaaaaa?
 
Hivi Huyu dada kamtuma mtu huku kumtangaza au kuna kitu so special zaidi ya kuwatega wame za watu na sauti kipindi chake usiku?ni kweli anayoyasema kwenye kipindi ana uzoefu nayo au anayatoa kwenye vitabu tu.
 
namfahamu ni mtoto wa Dioniz malinzi, namuombea mungu asiwe na tabia kama za baba yake maana anafanana na liyumba thanx god watu hawajamstukia.
 
alitaka tu kuonekana na watu,nadhani ubongo wake uko demaged.!
mi sioni mantiki hapa,nini haswa alichodhamilia?
 
Je huyu ndie??

4968d1245925460-a-love.jpg



Hapana Hapana Hapana Siyo huyu!!!!

Huyu dada ni mtangazaji wa Channel O ya South africa na mara nyingi huwa anakuja US na UK kufanya mahojiano wa wasanii wa HIPHOP.

Hapa yuko NYC na wasanii wa MOBB DEEP Prodigy na Havoc.

MJ
 
Hivi hii picha imeshndikana kuitoa, ngo tuje tuipeleke inakofaa sio hapa.
 
it is true tha Diva you are good hope that you will reach far Congats DIVA!!!!
 
Hivi kuna haja ya kuuliza zaidi ya yale alioyatoa kwenye profile yake? nafikiri yako self explanatory, na kama kuna anayetaka kumjua zaidi amtafte yeye mwenyewe na si kupitia hapa JF
 
Jamani muacheni mtoto wa watu anajitangaza apate kuwa star kipindi chake kiwe chart aweze survive clouds./.........la sivyo probabtion yake sooo atatemwaa....kama kipindi kikizimaa
 
Jamani muacheni mtoto wa watu anajitangaza apate kuwa star kipindi chake kiwe chart aweze survive clouds./.........la sivyo probabtion yake sooo atatemwaa....kama kipindi kikizimaa

Kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
 
Huyu si ndio ameweka picha za chotara wenzake kwenye blog yake na kuuliza watu "who is the sexiest man in TZ... " unategemea nini kutoka katika kichwa kama hicho tena kimepewa kipazana uwezo wa kimawimbi kuwafikia maelfu ya raia wema....
 
yule binti anafaa kusikilizwa na matineja maana maongezi yake na mapozi yake vinaelekea huko. mtu mzima hawezi kumsikiliza
 
Back
Top Bottom